Wanawake wakubwa ndio wanafaa zaidi.

The boss dear, hiyo namba tisa mbona kama sio mi najuaga wanakuwa na wivu sana na wapenzi wao
 

Bosi hapo umepiga Ikulu, I am dating a 23 years old one, yaani ni pasua kichwa balaa......!!! You are right, 100%! Ngoja nitafuta ambaye ni 27 na kuendelea!
 
mi namwalimu wangu wa primary kanipiga age gap bt yupo fresh,muelewa ila anawivu cjaona,mcheshi ila anapenda kusoma magazeti ya udaku,anajua kupika,daah sita kwa sita anatikisa dunia mzima,jamani umri, umri umriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
mi namwalimu wangu wa primary kanipiga age gap bt yupo fresh,muelewa ila anawivu cjaona,mcheshi ila anapenda kusoma magazeti ya udaku,anajua kupika,daah sita kwa sita anatikisa dunia mzima,jamani umri, umri umriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Hapo kwenye bluu, is that a problem to you?
 
dogo huyu hapa, ile nimemwambia tu bado kidogo arukie screen akufate. Fanya uje, nisharekebisha mambo.
Hivi hus unakaa mpwapwa eeee unapanda daladala la kwenda wapi huko? wasalimie nduguz
 
Jaman huwez amini..mm kuna wana mama ana miaka 40 now nilikuwa na mahusiano nae tukaja kumwagana kwa 7bu zilizo nje ya uwezo wetu huwez amini mpk sasa nampiga sound daily turudiane kiukweli wanawake wakubwa wana vitu vingi sana ambavyo wanaume wengi tunapenda kufanyiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naungana na wewe.Sifa alizotaja zina reflect caring. Na wanawake pia wanapenda typer ya wanaume WA sampuli hiyo.
Pale kwenye pesa, wao watasema usiwe bahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga Mkono hoja mwenyekiti..kuna Jimama la Kigunya hapa nakula vyombo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…