Wanawake wakiwezeshwa wanaweza hata hivi.

Hahahaha mwAnamke Anazijichapa huyo

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Saa hizi anamkaba kabari bila kujali chochote. ikifika usiku anaanza kusaula nguo mwenyewe na kutangulia yeye kulala.
 
ninaiogopa hiyo avatar yako sintakaa nifungue thread yako mamammmmmmmmmmmmmmmmmmmm
Umeonaee? Nilishamwambia hiyo avatar atangulize tahadhari kabla ya post zake. Mkuu Ipycalypse jikutilisya! ulinsyuka????:spy:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom