huna uhusiano wowote na boko haram kweli?Ha ha hah why unanipeleka level hizo? Mimi ni mkulima wa viazi hapa Kikondo Mbeya.
Nani kakwambia alikopa? Au unamjua?
Saa hizi anamkaba kabari bila kujali chochote. ikifika usiku anaanza kusaula nguo mwenyewe na kutangulia yeye kulala.
Bila shaka wateja watoto hawasogelei dukani au shambani kwako, hata hao wakubwa sijuiiiiiiiiii.Ha ha hah why unanipeleka level hizo? Mimi ni mkulima wa viazi hapa Kikondo Mbeya.
Angalia hiyo picha vizuri, huyo wa pembeni mbona haamulii hiyo match, angalia kule kulia mbali kuna dumu na kandambili, halafu angalia huyo mama aliyewezeshwa na anaweza na pensi alilovaa, inaonekana yupo kazini, na huyu anayeshughulikiwa nahic ameidharau kazi ya huyo mtoa adabu!!! That pic 2 me tells alot!!
Njoo kwetu tandale utajua what I mean! Chezeya mama kwa kazi eenhe!!