Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,807
- 17,359
Hahahahaa...poleni mie nakumbuka ujauzito wa wife alikuwa anapenda pespi baridi ile chupa yake inamdomo mwembamba....siku moja ziliisha kwa friji imefika saa tisa usiku akaniamsha mzee tulizunguka baa zote dar nikaja ipatia kona bar sinza toka mbezi kimara....tumerudi om tayari kumekucha...
Mkuu pole!
Ila ktk ulimwengu wa roho (hayo huwa ni mapepo) kwa iman yangu,
Mungu aliweka ndoa kama jambo la faraja na upendo, ujio wa mtoto ni furaha kwa wote wawili, (iweje mwingine asononeke kwa ujio huo) inafika mahali unajuta,
Mabadiliko ya mwili yapo tena sana tu na ukiyaendekeza ndo huge uka mapepo sasa!
Kitaalamu wanasema mtoto akiwa tumboni anaanza tambua uwepo wa watu wanaomzunguka (siko vizur eneo hilo) that's wazazi, na hapo ndo upendo unapoanzia, hutaki kulala na baba wa mtoto, upendo wa baba mtoto ata sense saa ngapi ilihali kutwa yuko kwenye mihangaiko,
Tangu siku ya kwanza hadi ya mwisho umebeba mimba wewe ni mi hasira tu! Unategemea mtoto atakuwa na upendo? Mtoto ni baraka! Isigeuke karaha
Ni wachache wataliewa hili!!
Tufike mahali tutofautishe mapepo na Mabadiliko ya mwili!
Kwa nini ateseke na wewe upo? HAta hao unaowaona wagumu wanatamani kudeka.
hizo ni mbwembwe tu mimi wangu anamimba na nimemwambia staki drama hapa tunalea taraatibu na katuliA
Ila harufu za kiume na wali vinachefua...
Acha hizo zote sasa kuna hii:
Mke wa kaka angu, yeye alikuwa anamwambia kaka akitoka tu kazini mara moja arudi nyumbani, akisharudi anachukua viatu vya kaka anaanza kunusu, akawa anasema akinusa ile harufu ya viatu yeye ndo roho inakuwa kwatu, tena akawa anamwambia kaka asivae soksi. Just imagine takribani miezi 8 kaka hakuvaa soksi.
mbaya zaidi kaka achelewe kurudi nyumbani, patachimbika hapo, akifika tu mlango anasema lete viatu. Duh!
Mkuu pole!
Ila ktk ulimwengu wa roho (hayo huwa ni mapepo) kwa iman yangu,
Mungu aliweka ndoa kama jambo la faraja na upendo, ujio wa mtoto ni furaha kwa wote wawili, (iweje mwingine asononeke kwa ujio huo) inafika mahali unajuta,
Mabadiliko ya mwili yapo tena sana tu na ukiyaendekeza ndo huge uka mapepo sasa!
Kitaalamu wanasema mtoto akiwa tumboni anaanza tambua uwepo wa watu wanaomzunguka (siko vizur eneo hilo) that's wazazi, na hapo ndo upendo unapoanzia, hutaki kulala na baba wa mtoto, upendo wa baba mtoto ata sense saa ngapi ilihali kutwa yuko kwenye mihangaiko,
Tangu siku ya kwanza hadi ya mwisho umebeba mimba wewe ni mi hasira tu! Unategemea mtoto atakuwa na upendo? Mtoto ni baraka! Isigeuke karaha
Ni wachache wataliewa hili!!
Tufike mahali tutofautishe mapepo na Mabadiliko ya mwili!
Mkuu mimi ke, na naongea vitu ninavovielewa mimi sio lazima nawe uelewe!
Ndo maana nikasema si wote watalielewa hili, maana kama kwa maneno ya kawaida tu hayo umeshindwa kuelewa yajayo ndo kabisaaaaa! So bora tuishie hapa!
Mabadiliko yapo ya kisayansi yanaeleweka, na shetan analeta ya kwake ! Ukishindwa kutofautisha hapo utapelekwa sana tu!!!
Nadhani sense of smell huwa inaongezeka.
Huyu shetani anasingiziwa vingi sana aisee, mpaka mabadiliko ya mwili? Haya sasa wanawake wakipata ujauzito mapigo ya moyo huongezeka, nalo ni shetani? Ebo! muhurumieni shetani mkizini mkiwa mmelewa yeye na mabadiliko ya mwili yeye daah kaazi kweli kweli
I can feel what they're going through. Wangu hakuwa na mapozi sana lakini mtoto alipofia huko ndani, then yeye akapata massive complications, acha kabisa...hawa watu tuwaheshimu tu, huwa wanapitia kipindi kigumu wakati wa ujauzito.
Si nafuu wewe mkuu,sitasahau mke wa dingi mdogo alikuwa na mimba yake ya kwanza mwaka 2000,basi mpaka dingi mdg kuna kipindi haendi job na alikuwa anamdekeza haswa...siku moja usiku wa saa 7 akatuamsha tena kwa hasira mimi na binamu yangu eti tukamtungulie mkewe mapera mabichi (japo mti haukuwa mbali) halafu tuje na matembele pia. Na kulikuwa na manyunyu usiku huo huyu binamu yangu alianguka kwny utelezi na kuumia hadi leo ana kovu,asubuhi yake alienda kwao (kwa Aunt yangu).
Tena asikwambie mtu hizo mimba ndogo ndio zinasumbua mnoo,,jamani hivi mnaona ni rahisi eeeh.Kwenda zenu mnadeka sana! Ata mimi huku sina hamu tena... Asikwambie mtu ananiendesha huku kimimba kidogo sana bado.
hahahaaa,nimecheka sn jamaniAcha hizo zote sasa kuna hii:
Mke wa kaka angu, yeye alikuwa anamwambia kaka akitoka tu kazini mara moja arudi nyumbani, akisharudi anachukua viatu vya kaka anaanza kunusu, akawa anasema akinusa ile harufu ya viatu yeye ndo roho inakuwa kwatu, tena akawa anamwambia kaka asivae soksi. Just imagine takribani miezi 8 kaka hakuvaa soksi.
mbaya zaidi kaka achelewe kurudi nyumbani, patachimbika hapo, akifika tu mlango anasema lete viatu. Duh!
Ha ha ha! Haichekeshi lakini inabidi nicheke, mi tulikuwa tunatoka Posta kuelekea Kimara, eti tukifika Ubungo anasema ana hamu na Chipsi za Edo, kwa hiyo inabidi turudi Namanga, dah.
Ila nina swali silielewi, mbona wanafunzi au watu wasio na wanaume around mimba zao hazina matata matata? Yaani unakuta kama demu ana mimba Chuoni maisha yanaenda hadeki wala halalamiki kama hawa wake zetu.
Wengi wachangiaji wa maada hii wamesema wajawazito wengine hizi fujo wanazoleta wanaigiza aisee mimi nakataa kabsa,Mimba ni noma kwanza hata akufanyie fuju kiasi gani huwez kumpiga km unabusara lkn,Ila ni muda mzuri sana wa kumliwaza wife kwa kuwa hichi kipind ni kigum sana na inahtaj moyo wa uvumilivu hapo ndio muda wake yy mke kudeka na kuona kama kweli unampenda na kumjali.....hii ndio fursa ingawa tunafukuzwa ndani kwamba Tunanuka ,wanatuchukia ,anakufokea yaani aaah mradi siku ziende tu....Nakumbuka mwaka juzi wife akiwa mjamzito yye alikuwa hatak kbsa kuongea na mimi,nikiwa hom anakula buyu,ila toka hatua moja simu hiyo eeh umeshaenda kwa Malaya zako wakat amekutuma kitu dukani, Ukiwahi kurud unasikia muda wote unashinda ndani siuende nje ukakae na wenzako haya ukienda dk2 simu hiyo utasikia na ulale huko huko. Usiku ndio kazi sasa yaani nikutafuna mchele mbichi na kutafuna barafu....jaman eeehh...Nashukuru nilimvumilia bahat nzuri kaniletea matwins mapenz yamerud km wachumba vilendio gharama za ubaba hizo vumilia..... utakapokuwaunacheza na mwanao utayasahau yote hayo