HALELUYA MOSHI
JF-Expert Member
- Aug 14, 2014
- 2,121
- 1,206
lugha chafu za nini sasa... naomba uzianzishe ligi ambayo hutamaimaliza tafadhali, nina mdomo mchafu sana ila naomba usiniharibie siku yangu mapema yote hii.
Mkuu pole!
Ila ktk ulimwengu wa roho (hayo huwa ni mapepo) kwa iman yangu,
Mungu aliweka ndoa kama jambo la faraja na upendo, ujio wa mtoto ni furaha kwa wote wawili, (iweje mwingine asononeke kwa ujio huo) inafika mahali unajuta,
Mabadiliko ya mwili yapo tena sana tu na ukiyaendekeza ndo huge uka mapepo sasa!
Kitaalamu wanasema mtoto akiwa tumboni anaanza tambua uwepo wa watu wanaomzunguka (siko vizur eneo hilo) that's wazazi, na hapo ndo upendo unapoanzia, hutaki kulala na baba wa mtoto, upendo wa baba mtoto ata sense saa ngapi ilihali kutwa yuko kwenye mihangaiko,
Tangu siku ya kwanza hadi ya mwisho umebeba mimba wewe ni mi hasira tu! Unategemea mtoto atakuwa na upendo? Mtoto ni baraka! Isigeuke karaha
Ni wachache wataliewa hili!!
Tufike mahali tutofautishe mapepo na Mabadiliko ya mwili!
Pepo linakuja na mimba na kuondoka na mimba?
Pepo linaongoza all senses?
Vipi yule anaejisikia kumpenda mwenza wake kupita kiasi nalo ni pepo?
Pepo linakuja na mimba na kuondoka na mimba?
Pepo linaongoza all senses?
Vipi yule anaejisikia kumpenda mwenza wake kupita kiasi nalo ni pepo?
Kutapika ni pepo?
Umeisha sema anampenda!
Lengo la ndoa msichukiane bali mpendane!
Hizo ni roho zimesimama ktk neno MIMBA kuvuruga aman na upendo kwa wanaondoka!
Imagine miezi 9 hujali naye pengine huli in the name MIMBA ni kinafuata kwa mwenza wako! Lazima atashawishiwa kwenda nje! Then what next?
Jibu maswali yangu kwanza ili uweke wazi watu wakuelewe..
Kumbe haujui upendo ukipitiliza ni kero!
Ha ha ha! Haichekeshi lakini inabidi nicheke, mi tulikuwa tunatoka Posta kuelekea Kimara, eti tukifika Ubungo anasema ana hamu na Chipsi za Edo, kwa hiyo inabidi turudi Namanga, dah.
Ila nina swali silielewi, mbona wanafunzi au watu wasio na wanaume around mimba zao hazina matata matata? Yaani unakuta kama demu ana mimba Chuoni maisha yanaenda hadeki wala halalamiki kama hawa wake zetu.
Mkuu pole!
Ila ktk ulimwengu wa roho (hayo huwa ni mapepo) kwa iman yangu,
Mungu aliweka ndoa kama jambo la faraja na upendo, ujio wa mtoto ni furaha kwa wote wawili, (iweje mwingine asononeke kwa ujio huo) inafika mahali unajuta,
Mabadiliko ya mwili yapo tena sana tu na ukiyaendekeza ndo huge uka mapepo sasa!
Kitaalamu wanasema mtoto akiwa tumboni anaanza tambua uwepo wa watu wanaomzunguka (siko vizur eneo hilo) that's wazazi, na hapo ndo upendo unapoanzia, hutaki kulala na baba wa mtoto, upendo wa baba mtoto ata sense saa ngapi ilihali kutwa yuko kwenye mihangaiko,
Tangu siku ya kwanza hadi ya mwisho umebeba mimba wewe ni mi hasira tu! Unategemea mtoto atakuwa na upendo? Mtoto ni baraka! Isigeuke karaha
Ni wachache wataliewa hili!!
Tufike mahali tutofautishe mapepo na Mabadiliko ya mwili!
Ni mabadiliko yanayo mtokea na ni ya kawaida kwa wanawake wajawazito MPE support na umchukulie ka alivo.
Ka unaona anakusumbua na wewe beba mimba uone moto wake.