Wanawake wakati mwingine michepuko mnaitafuta wenyewe

nimekupenda mamy
Wanaume mnafeli pale mnapo expect ili penzi liwe stable na liwe jipya kila siku lazima mwanamke a play part kubwa kitu ambacho sio sahihi.
Le me tell you this, wanawake tuna hitaji vitu vidogo vidogo tu ili tufanye mnachotaka.
Mkishatupata mnapunguza attention no texts /call like before. Vizawadi vidogo vidogo vinasitishwa, weekly dinners dates mnaacha. Nabadilisha hairstyle, nanunua nguo mpya, perfume.... but u don't even notice let alone complement me!!!!
Kwa ufupi mkishatupata mnajisahau.... and you expect us to keep our game on top??? Come on boys, love is a two way game .
If you give a woman your attention she'll want to impress you and make you happy e'day in all ways she can from the kitchen to the bedroom .
Ignore her and you'll run to Jf and start a thread...
 
Asante sana Edelyn kama umenielewa, nimefarijika sana kwa wewe kunielewa.

Tukirudi kwenye swali lako, tena uzuri hiki ulichokiuliza ndio nilikuwa nakilenga kwenye reply yangu ya kwanza ambayo Rebecca83 ameshindwa kabisa kuielewa tangu jana.

Mwanzo nimesema kuwa suala la unyumba mwanaume analipa uzito sana(maelezo nimeshatoa) na hivyo mwanamke anatakiwa afahamu kuwa anapo mbania/kumnyima mume wake unyumba ana mtesa sana pasipo kujua.

Endapo kama inatokea mwanaume anasitishiwa huduma ya unyumba ndani ya nyumba basi panatakiwa pawepo na EXTREME... EXTREME IMPORTANT REASONS kwanini asipewe unyumba. mfano kama vile mke ni mgonjwa sana, mke ana ujauzito usiohitaji kashi kashi, mke yuko kwenye zile BLEEDING DAYS na pia kama kuna mgogoro ambao uliowagawa kisaikolojia.

Sasa huwa kuna zile sababu ambazo mimi naziita ni za kipuuzi na ndio wanawake wengi wako nazo. sijui eti leo nimechoka sijiskii, mara tutafanya hasubui, mara si nimekupa juzi tu na leo tena...!! Haloo hizi ni sababu za kijinga kabisa kutolewa na mwana ndoa. maana kama ni kuchoka kwani huo mchoko unatumia muda gani kuisha na mwili kurudi kwenye hali yake!!?

Unajua sex ni kitu kinachohitaji mutual feelings, sasa kama kuna mmoja hana time na mwenzake lazima huyo anayekosa feelings kutoka kwa mwenzake atajikuta anazitafuta nje ya uhusiano na ndio hapo inapokuja topic ya kuchepuka.

Umeelezea vyema mkuu ila naomba nikuulize swali mfano ndo umeoa sasa halafu mke hakupi unyumba kila siku kulingana na mahitaji yako kuna siku anakwambia hajisikii au amechoka wewe utafanyaje?
 
wewe Rebecca83 hebu soma hii comment yangu ya kwanza kabisa kisha ukimaliza uniambie yafuatayo.

-Ni wapi nilipo onesha kuwa testosterone level ni justification ya wanaume kuchepuka

-Ni wapi nilipoonesha kuwa testerone level ni sababu ya kutokea kwa sex hasault au violence ya aina yoyote ile.

-Ni wapi nilipoonesha kuwa sex kwa mwanaume haiwezi kuwa controlled kabisa.

Maana naona hayo ndio yamekukaa akilini tangu tumeanza majibizano na wewe.

Halafu pia uniambie unaelewa nini ukiona neno "nymphomaniac"

Vile vile pia uniambie kati ya wanaume na wanawake ni akina nani hasa wanaochepuka sana na kwanini.

unajua suala hapa hata elimu pia ni tatizo, wanawake wengi hawana sex education, wanachukulia uhitaji wa sex walio nao ni kama sisi.

Endapo kama wangekuwa na elimu hiyo wangefahamu kabisa hawafanani hata kidogo na sisi kwenye hitaji la ngono.

yapasa wafahamu kuwa our testosterone(sex driving factor) level is normally 20 times higher than that of women and it's what makes us nymphomaniac(sex always in demand and less controllable) tofauti na wanawake ambao sex kwao ni more controllable and not always in demand.

Wanaume sex ni kama moja wapo ya basic needs kwa sababu za kibailojia. Sasa unamkuta mwanamke anamwambia mme wake eti "jamani si nimekupa tu juzi na leo tena unataka?"..... yaani akilini mwake anaamin kabisa kwa kuwa yeye alikata kiu juzi basi hata na mume wake nae ni hivyo hivyo.

Unakuta muda mwingine ametoka kuoga ana badirisha chupi mbele yako halafu ukimgusa tu utaskia "sitaki fujo" na wakati yeye mwenyewe ndio kakuamshia hisia..hahaha
 
Mnhh eti najishtukia tu....

embu angalia posts zako..mwenyewe uji assess lugha unayotumia ...pitia post baada ya moja...sina muda wa ku list sentensi zote ulizoenda nje ya mstari...kwa mtu anayejitabanisha ana uwezo mkubwa ku Comprehend vitu...akiambiwa kwamba awe objective mwenyewe atajua amekosea wapi..proof HUNA UWEZO HUO........

' Mazingira yenye utayari wa kufanya ngono' ambayo Mwanaume hana self control ni yapi hayo....???eti na mwanamke ndio anayo self control,hahaa bongo zetu ziko different kwani…???

Topic ni michepuko,ukaleta testosterone kujustfy kuchepuka,nikaleta ishu ya testerone kwenye mambo mengine,sijui unapinga tuu sababu unajiskia kufanya hivyo...AMA NI UKWELI UMESHINDWA KU 'COMPREHEND' simple text kama ile..

halafu unaji contradict mwenyewe;unaongelea Testosterone,unaongelea mwanaume ku lack self control afu hapo hapo unakataa hujasema kwamba kwa wanaume sex sio kosa lao...ni kitu wamezaliwa nacho...naamini kuna vitu vingine unaandika hata wewe MR Comprehesion huvijui...

Nitaendelea kukujibu hivi hivi,even if you think i'm stupidiest,i don't care ...hizi mind games zitaendelea....
Wanaoishi na hichi kichwa wana tabu sana sio tu walimu wako waliopata shida, bali hata MUME wako(kama unae lakini) naye pia atakuwa anapitia mtihani mzito sana maishani mwake.

I think next time you reply me back with your long illogical recycled epistle, ignoring button will do you a huge favor and save your irrationality for somewhere else.
 
Asante sana Edelyn kama umenielewa, nimefarijika sana kwa wewe kunielewa.

Tukirudi kwenye swali lako, tena uzuri hiki ulichokiuliza ndio nilikuwa nakilenga kwenye reply yangu ya kwanza ambayo Rebecca83 ameshindwa kabisa kuielewa tangu jana.

Mwanzo nimesema kuwa suala la unyumba mwanaume analipa uzito sana(maelezo nimeshatoa) na hivyo mwanamke anatakiwa afahamu kuwa anapo mbania/kumnyima mume wake unyumba ana mtesa sana pasipo kujua.

Endapo kama inatokea mwanaume anasitishiwa huduma ya unyumba ndani ya nyumba basi panatakiwa pawepo na EXTREME... EXTREME IMPORTANT REASONS kwanini asipewe unyumba. mfano kama vile mke ni mgonjwa sana, mke ana ujauzito usiohitaji kashi kashi, mke yuko kwenye zile BLEEDING DAYS na pia kama kuna mgogoro ambao uliowagawa kisaikolojia.

Sasa huwa kuna zile sababu ambazo mimi naziita ni za kipuuzi na ndio wanawake wengi wako nazo. sijui eti leo nimechoka sijiskii, mara tutafanya hasubui, mara si nimekupa juzi tu na leo tena...!! Haloo hizi ni sababu za kijinga kabisa kutolewa na mwana ndoa. maana kama ni kuchoka kwani huo mchoko unatumia muda gani kuisha na mwili kurudi kwenye hali yake!!?

Unajua sex ni kitu kinachohitaji mutual feelings, sasa kama kuna mmoja hana time na mwenzake lazima huyo anayekosa feelings kutoka kwa mwenzake atajikuta anazitafuta nje ya uhusiano na ndio hapo inapokuja topic ya kuchepuka.
Sawa umeeleweka mkuu
 
Wanaoishi na hichi kichwa wana tabu sana sio tu walimu wako waliopata shida, bali hata MUME wako(kama unae lakini) naye pia atakuwa anapitia mtihani mzito sana maishani mwake.

I think next time you reply me back with your long illogical recycled epistle, ignoring button will do you a huge favor and save your irrationality for somewhere else.

.wewe ndio ulianza kuniquote...sio mimi...na kukaa kwako JF tangia 2015..hujui watu wanavyobishana humu...afu unajiona una comprehension kubwa...wewe ndio usiniquote na Pumba zako,...simply CHUKUA TIME...!!
 
Yes!! ndio comprehension yangu ni kubwaa mnoo kulinganisha na yako.

Ushaidi ni comments zako, nimeelezea comment yangu ya kwanza zaidi ya mara 5 kwa namna tofauti, lakini huelewi kitu ukinijibu unajibu vile vile tu kama ulivyojibu tangu mwanzo huku ukinilisha maneno.

Mpaka nimekuwekea hapo comment iliyotufikisha huku Mimi na wewe huku nikiuliza maswali yatakayoondoa confusion lakini bado unaonekana kutoelewa kitu.. sasa mtu kama wewe kwanini tusiseme una kichwa kigumu na unawapa shida unaoishi nao.

Niliku-quote kwa sababu wewe ulivyom-quote Extrovert chanzo ilikuwa ni comment yangu, hivyo bila comment yangu usingem-quote kwa hiyo hata mimi nilikuwa na haki ya kujibu comment yako.
 
Nawaachia wana JF wawe Judges,nani ambae hamwelewi mwenzie...

yaani una haki ya kunijibu /kuniquote halafu mimi ndio nikuignore wewe kwa kuwa ni nani?.wewe ndio unatakiwa kama una akili sana kuignore michango unayoona sio ya watu level yako….hii kubishana na mimi ilhali unajua comprehension yangu ni ndogo,ni evidence na wewe ni ...st6***2& tu...

Maneno yako ya reja reja peleka kwa mkeo,nili ignore post yako pale juu,sababu nilitaka tu end this stupid arguments...hakuna anayefaidika nayo...naona mwenzangu umekazaniiiiia...by the way kama mtu amenisoma vizuri kulikua hakuna haja ya kuuliza viswali vya kitoto…..its clearly HUNIELEWI …..sina cha kukufanya Zaidi mkuu...
 
sijakujibu pale juu,nilikua nataka

ahahahaa.... SUCH A FUNNIEST EMOTIONAL RANTINGS from zero understanding bag of poo!!

Huna lolote wewe, hayo maswali huwezi kutoa majibu ya kueleweka sababu yangeonyesha hoja zako zote huko nyuma ni mfu na hazina mantiki hata kidogo kulinganisha na nilichokiandika hapo kwenye first comment, hivyo unaleta leta janja janja tu hapa ya kuyakwepa na kutafuta sympathy ya wana JF... eti umeyaacha hili ku-end this stupid argument.. ahahaha Rebecca bhana.

Mimi nilikuwa nakujibu maana nilidhani labda utabadilika/utalegeza kidogo nati za brain yako na kuanza kuelewa, lakini kumbe mwenzangu uwezo wako wa kuelewa uko fixed. Nilipoligundua hilo ndio nikaona kuna haja ya kuku-ignore na nikawa nasubiri tu nione majibu yako ya maswali yangu ya mwisho kama yatakuwa ni yale yale tu hili nisiendelee kujichosha kabisa kubishana na wewe.

Eti maswali ya kitoto!! kaone kwanza..!!! ZERO SEX EDUCATION... ZERO COMPREHENSION.... ZERO EMOTIONAL CONTROL....VYOTE HIVI NIMEVIONA KWAKO Rebecca.

Haya ni jibu hata hili swali unaelewa nini unaposkia "men are nymphomaniac" ?

Hakuna anayefaidika na mjadala halafu wakati huo huo unaushiriki hadi saa nane usiku... Rebecca bwana
 
KAZI UNAYO,,,,KHA!

wewe kutokua na hoja bali kujifunika kwa mwamvuli Comprehension..ni proof tosha hujakomaa, this means arguments zako ni za kitoto….yes..za kitoto...kama unabisha hesabu mara ngapi,umetumia neon comprehension..ujipime mwenyewe kwenye scale ya JF … je ni neon wanalolitumia kwenye mijadala….kuvalidate their arguments..ni hili???..na wala sio nakua emotional..bali nakuambia ukweli..arguments zako za kitoto…!!!

Umekazaana brain yangu this,comprehension yangu that...narudia tena,ukisharelax nisome tena,wala usingekua na haja ya kuniuliza maswali yako ya kitoto toka GOOGLE!

Post yako hii, sijui ulikua unataka tu kunirudisha kwenye hii ligi ya mchangani??Eti natafuta Sympath ya wana JF..akaaa hivi vivuli vitanisaidia nini..mimi??? nipate sympathy ya wana JF then what????

Sileti janja,sijaona upande wako kama umeleta hoja za mantiki na siwezi kukukimbia wewe ..wewe jua hivyo...

anyway sikushangai..yeyote anayepiga campaign wanaume kuchepuka ni jadi yao (usiquote hii useme hukuandika),moja ni mfuska,mbili ni selfish,tatu has no respect for women... NA HILI NDILO NILILO OBSERVE kwako….

relationship especially marriage has to be built on mutual trust and respect...huwezi ukawa na low opinion of women halafu ukawarespect wanawake kuwa ni beings na sio robot wasio na feelings (Don't play that I play emotional card)

na kama una low opinion of women,why get married or have relationship.??.si ubaki single tu,ufanye unavyotaka??,so mtu anainvest kwako feelings/time/ etc halafu unaishia ku break her heart au kumletea magonjwa ndani…hell no.

Sio kosa lako,up bringing ina matter ,nasemaga siku zote,nyumba ambazo familia inapendana na wanapeana respect,hutoa watoto wako well rounded..hutoa watu wanaoheshimu na kupenda wengine..sasa waliolelewa huku wakiona hamna repect at home..ama Parent/s mmoja akiwa unfaithful...watoto wanajifunza through modelling ..ni sawa na kutoa 'script' how life should be...sijui @Lizarus kaangukia kundi gani...lol

Isshu ya time isikupe tabu,lol
 
..

na wewe umekubali hio excuse???

Testosterone iko linked na violence..

je unaenda kuattack kila mtu kisa una high testosterone???

Mbona mahakamani 'hamsamehewi' kwa violence kama mna high testosterone,,

au ina apply kwenye tendo la ndoa tuu??
Umechanganya madesa, adrenaline ndio iko associated na hio violence. Testosterone iko connected na sex & reproduction!
 
Umechanganya madesa, adrenaline ndio iko associated na hio violence. Testosterone iko connected na sex & reproduction!

Kachunguze tena testosterone’s iko associated na dominance if this dominance is not achieved ina lead to violence/aggression
 
Afadhali wewe angalau unaelewa kuwa wanawake hatuwezi kufanya kila siku kama wanaume na hizo siku ambazo hatujisikii kufanya ni muda ambao hata nyie mnaweza kuhimili kutokufanya ila basi tu kujiendekeza wanaume wengine hapa ndipo wanapotafutia sababu za kuchepuka

Maana kuna wanaume wanataka kufanya kila siku wakati wanaweza kabisa kuvumilia ukiuliza ikipita siku moja bila kufanya anapata madhara gani? Hakuna madhara anayopata ila basi tu anataka kuona kila mbegu yake inaingia kwa mwanamke
Mie naweza vunga hata week ila siku na saa nyege zitaponipanda huwa sipendi story! Ni kuvuta na kuweka ukuni tu, hapo ndio unakuta kero inapoanza sasa...mara nimechoka mara sijui vile. Mbaya zaidi ukichunguza unakuta huyo mwanamke ana secret affair na co-worker wake.
 
Wanaume mnafeli pale mnapo expect ili penzi liwe stable na liwe jipya kila siku lazima mwanamke a play part kubwa kitu ambacho sio sahihi.
Le me tell you this, wanawake tuna hitaji vitu vidogo vidogo tu ili tufanye mnachotaka.
Mkishatupata mnapunguza attention no texts /call like before. Vizawadi vidogo vidogo vinasitishwa, weekly dinners dates mnaacha. Nabadilisha hairstyle, nanunua nguo mpya, perfume.... but u don't even notice let alone complement me!!!!
Kwa ufupi mkishatupata mnajisahau.... and you expect us to keep our game on top??? Come on boys, love is a two way game .
If you give a woman your attention she'll want to impress you and make you happy e'day in all ways she can from the kitchen to the bedroom .
Ignore her and you'll run to Jf and start a thread...
Nafikiri jinsia zote mbili kuna mahali zinafeli, ww ni mwanamke ndiyo maana umetetea upande wako kuwa wanaume tukishawapata nyie basi tunawspunguziaga attention, ni sawa unaweza ukawa uko sahihi kwa kiasi chake lakin hata akija mwanaume nae atatetea upande wake kwa sababu yeye ni mwanaume kwa hiyo ataangalia weakness yenu so mwisho panakuwa kama hakuna majibu, Ila nataka nikuelekeze kitu kimoja na ukubali au ukatae ila huo ndo ukweli kwamba " Siku zote ndoa huwa huwa ni kwa ajili ya mwanamke na si mwanaume " full stop. Kubali ukatae ila ndo iko ivo kwamba ww mwanamke ndiyo mtu pekee wa kuifanya ndoa isimame au ianguke, sijui unanielewa vzur lakin 🤔🤔🤔
 
Wakati wa uchumba wanawake wanakuwa viumbe wengine, wazuri na wenye mapenzi, wakati mwingine mwanaume hufanyiwa vitu mpaka unatangaza ndoa bila kujua. Kipindi hiki mapenzi yanakuwa moto moto, kila ukihitaji unapewa, kazi zote unafanyiwa, kumbe ni kampeni ya kuisaka ndoa.

Mara tu mnapoolewa wanawake mnajisahau sana, dharau, viburi, ujuaji, mapenzi zero mbaya zaidi hata kile chakula chetu pendwa unapewa kwa kupangiwa, kila siku mnuno, mvivu, na kutokujali.

Wakati mwingine unaoa ili upate pumziko la mwili na akili pindi ukichoka lakini unajikuta umeingia kwenye moto ambao huzimiki, hivi kweli kwa hali kwanini mwanaume nisitafute mchepuko wa kupata pumziko, bahati nzuri pia michepuko inajua kucare na haina kelele nyingi.

Hebu wanawake jaribuni kutufanyia yale mliyokuwa mnatufanyia enzi za uchumba muone kama tutachepuka, hata tukijaribu nafasi itatusuta.
Siyo lazima kubaki kwenye ndoa mfu.
 
Afadhali wewe angalau unaelewa kuwa wanawake hatuwezi kufanya kila siku kama wanaume na hizo siku ambazo hatujisikii kufanya ni muda ambao hata nyie mnaweza kuhimili kutokufanya ila basi tu kujiendekeza wanaume wengine hapa ndipo wanapotafutia sababu za kuchepuka

Maana kuna wanaume wanataka kufanya kila siku wakati wanaweza kabisa kuvumilia ukiuliza ikipita siku moja bila kufanya anapata madhara gani? Hakuna madhara anayopata ila basi tu anataka kuona kila mbegu yake inaingia kwa mwanamke

Huu ndo msingi wa wanawake wengi kutunyima, eti usipofanya saiv au leo unapatwa na madhara gani.?
Kiuhalisia madhara hayapo physically ila physiologically madhara ni makubwa sana. Ila kwa sababu madhara ya kisaikolojia hayaonekani kwa macho mnachukulia poa poa tu. Mwanamme bora umwambie tusile saiv tule baadae kuliko kumwambia tusifanye leo wakati anataka mfanye. Mnatutesa sana, tena bora hata uambiwe kwa upole na kupewa moyo na matumanini. Ila unakuta unaambiwa kwa ukali, si tumefanya jana na leo unataka, mwanaume huna huruma wewe. As if ni kitu fulani ambacho yeye pia hana manufaa yake.
 
Back
Top Bottom