Wanawake wakati mwingine, hapana jamani!

Kaka Hapo Nadhan mi ningejilipa mapema sana...ili akili imkae vizur
 
Ha ha ha alijua ipo siku atalipa in kind... kwanza hapo ananuna kwa mengi moja hujamtongoza mbili anahisi umepata demu anamubudumia tatu hujampa pesa na mengine mengi
Arudishe kwanza alizokuwa amenikopa, vinginevyo atakuwa amenipunguzia mzigo!
 
Sasa kama ulikua ukimpatia hela harudishi na umekua ukiendelea kumpatia kwanini uache ghafla tu? Au labda ulikua unasubiria akupe k kama fadhila afu mwenyewe ndo hana habari...
Hapana mkuu, unajua ukimpa mtu, hiyo unakua umempa lakini akija kukopa ukimpa inabidi arudishe, sasa kama anakopa harudishi utaendelea kumpa?
 
Hayo maneno ya kwenye aya ya mwisho ungemwambia mhusika ungekua umemsaidia sana aisee wewe kama unahisi kuna sehemu haiko sawa
Mi nauliza kwa wengine kama inakuwa hivo!
 
Tatizo ww ulishajenga mazingira ya namna hiyo
 
Itabidi alipe kwanza alizopewa, ndo apewe bila hivo atakuwa amenipunguzia matatizo
Mkuu achana naye. Kwani anakupunguzia nn?
Wala usimfuatilie sbb hawa viumbe huwa hawachelewi kukupa kesi.
Akienda kwa mumewe akamwambia ulikuwa una mtongoza. Unaweza kujitetea?
Ukiendelea kumfuatilia sana, atakupa kesi ya ubakaji, utaozea jera mkuu.
Kwani pesa kitu gani mkuu, ushahonga pesa ngapi?
Hawa viumbe ni wazuri sana na wabaya sana.
 
Unapesa za mchezo man
 
Hawa viumbe hatari sana, mm yupo mwalimu tumezoeana sasa anaingia ndani kama kwake vile kisa kajua bado sijapata wifi, basi kaja kabeba mtungi wa gesi eti hajawahi kuniona nikipika, kabeba na baadhi ya vyombo vya mapishi....yaani mm naandaa kumleta bibie ili akute kuna kila kitu yeye anahamishia kwake. yeye ana mtoto ila hana mume, yaani shida aisee....kuna chenji nawekaga mezani sasa akifika nazo anakomba, akikuta juice anabeba hata kama bado sijafungua yaani hata kama sijanywa hata glass moja yeye anabeba. Wadau wakanishauri tumalizane naye lakini nimekataa maaana atanifanya baba wa mtoto wake na itakuwa shida. HAWA VIUMBE HAPANA AISEE!!!! Pole sana ndg yangu, kumbe tupo wengi
 
Bora huyo kanunia pesa.. wengine wanakununia na sababu hujui ni nini...
 
Nashukuru mkuu, nimekuelewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…