Wanawake wafupi wengi wao huzaa kwa "upasuaji": Kuna ukweli gani ktk hili?

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,407
Kuzaa kwa operesheni kuna sababu nyingi. Lkn nimeambiwa sababu kubwa ni ufupi wa mama mjamzito.

Kuna ukweli gani ktk hili?

My take; suala hili likithibitishwa kitaalamu basi wadada wafupi mwafwa!
 
Back
Top Bottom