LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,656
Kwenye akili yako maana naona wazitumia sana humuKuzihifadhi wapi kwa mfano?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye akili yako maana naona wazitumia sana humuKuzihifadhi wapi kwa mfano?
HahahaaaaKhaaa...
Naona kama unawapakazia... mbona sioni kama huyu ni mkorofi?
![]()
Fimbo ya mbali haiuwi nyoka mkuuKuna ndoa hazijatimiza hata miaka 7 zimetawanyika,wewe uchumba una miaka 7 upo nae! sasa si bahati hiyo? Wangoja nini zaidi ya ulivyovivumilia kwa miaka 7?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha maneno ya kichochezi
Hebu fafanua hiyo fimbo ya mbali inahusianaje na kumfuja binti wa watu kwa miaka 7 huku ukiwa huna uhakika wa kumuoa tokana na ufupi kama usemavyoF
Fimbo ya mbali haiuwi nyoka mkuu
Ukimwambia tuachane hataki sasa utafanyaje zaidi ya uchumba sugu,?Maneno yenu kuna upande yamenigusa kabisa........
Ila, basi tu
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Sema hujajua vizuri hao viumbe walivyokuwa wabishiHebu fafanua hiyo fimbo ya mbali inahusianaje na kumfuja binti wa watu kwa miaka 7 huku ukiwa huna uhakika wa kumuoa tokana na ufupi kama usemavyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Amigo....Ukimwambia tuachane hataki sasa utafanyaje zaidi ya uchumba sugu,?
Kila binadamu ana mapungifu yake hivyo si vyema kujadili ya wengineSema hujajua vizuri hao viumbe walivyokuwa wabishi
Halafu wanajifanya wanashangaa mdada anafikisha vipi above 30 yrs pasipo kuolewa wakati wao ndo source.
AmenHalafu wanajifanya wanashangaa mdada anafikisha vipi above 30 yrs pasipo kuolewa wakati wao ndo source.
Imagine kama alianza kudate na huyo mdada tangu akiwa na miaka 25,leo hii ana miaka 33!
Kweli alaaniwe
Sio mimi. Zinajituma zenyewe kutegemea nilichoandika... yaani ni mambo ya setting tu
Amen
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE wanawake wafupi bambaneni na hali zetu!sio mnakimbilia neno ulaaniwe
[emoji23] [emoji23]Wana matatizo kwa sababu mioyo yao ipo karibu na matako. Tofauti na wanawake warefu