Wanawake Wafupi ni wakorofi

Wanawake Wafupi ni wakorofi

Khaaa...

Naona kama unawapakazia... mbona sioni kama huyu ni mkorofi?
f08527b6-71df-4071-b1af-8e1ef930e57c.jpg
Meku huyu mbona mrefu sana tu..!!
 
Kuna ndoa hazijatimiza hata miaka 7 zimetawanyika wewe uchumba una miaka 7 upo nae sasa si bahati hiyo? Wangoja nini zaidi ya ulivyovivumilia kwa miaka 7?!

Sent using Jamii Forums mobile app

Huu ni uchawi kumfunga mtoto wa mwenzako asiolewe kwa miaka saba kwa jina la uchumba sugu
Maneno yenu kuna upande yamenigusa kabisa........
Ila, basi tu
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Aiseeee...

Sasa mieee Sijui ni mfupi au ni mrefu.... Ila kuna ambao nawazidi urefu bhanaa
Kuna jamaa aliwahi kuuliza......
Unaposema wafupi, unawalingamisha na nani...[emoji15] [emoji15] pengine kwako ni mfupi lakini kwao unaemuona mfupi, ndio mrefu kuliko familia nzima
 
Hamjaona watu wafupi
Katika mashindano ya watu wafupi
Aliyeshinda alipita chini ya stova mbio huku kanyosha mikono

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji91]Oyyyyooooooo .......[emoji100]
 
Usimuoe aisee,mdogo wangu anakiona cha moto,wameishi chumba sugu miaka 5.alivyofunga nae ndoa balaa inaanza mkorof wivu, kila aina ya aliyokua hamjui anaishuhudia sasa hvi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mchumba nadiriki kusema, Karogwa sio bure. 7 yrs unatangaza uchumba hiyo sebule haiishi tuhamie?? Ngoja niseme kweli; Nina mke mfupi tu, tena mpare, lakini sijawahi ona mwanamke ka huyu. Ka ni limbwata basi jameni mwenzenu nimekwisha. Nilichezea saana ujana wangu ila nilipofika hapa, nimeoza nimebaki utumbo tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom