Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,685
Yaishe jamaniiSema nani miguu yake inaishia katikati ya kitanda tukilala.. [emoji3][emoji3]
Yameisha.Yaishe jamanii
Yes but generally a 6' person is considered tall.I know but 6' kwa Thabeet ni mfupi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Khaaa...
Naona kama unawapakazia... mbona sioni kama huyu ni mkorofi?
![]()
Aise alafu kawe kaembamba mbona utakoma hapo hujaingopa. Ila uhakika zaidi ile mijianamike minene haina shida mitulivu yakishashipa yao kuchamba tuu basiWanawake wafupi hawajawahi kumwacha mwanaume salama!japokuwa asilimia kubwa wanajua kupenda ila changamoto zao ni kubwa mno kukabiliana nazo ni wagomvi sana ss sijui huwa hawajiamini au vp!nina mchumba(mfupi) kila nikitaka kumuoa roho inasita sasa tupo kwenye uchumba sugu for 7 years!wanawake wafupi please punguzeni wivu watu tunashindwa kutangaza ndoa
Usiwaonee wanawake wafupi kuna wanawake warefu wasumbufu kama nn. usiombe kukutana nao ila usumbufu wa mtu unatokana na asili a tabia yke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka pichaYule andunje wangu mbona sio mkorofi
PumbaaaaaWeka picha