Wanawake waajabu sana

Wanawake waajabu sana

yupiii huyoo
 

Attachments

  • Screenshot_20170716-223307.png
    Screenshot_20170716-223307.png
    47.1 KB · Views: 26
  • Screenshot_20170716-223307.png
    Screenshot_20170716-223307.png
    47.1 KB · Views: 25
Hapana mkuu sio dili sana
Lakini kwanini anikate, pia kwanini alitaka tupige pamoja... Si angepiga pekeake

Post sent using JamiiForums mobile app
Hebu timiza ahadi kwanza mkuu. Alafu siku upost wewe na um tag.

Umemuoa???
 
Sasa mkuu umechanganya mambo hapa, unaunganishaje kuombwa cherehani na kukatwa kwenye picha? Unahisi ndio sababu?

Kuhusu kukatwa picha mkuu sababu hana uhakika, muoe uone kama hakuweki.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
At anazkata vipande vipande
Na kuzweka ukungu[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Alaf ulivo mjinga hyo cherehan
Utaenda kununua

Paouch haijawah kutuacha
Wanaume salama

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
mkuu yani suala hilo tuu unalileta humu? vipi siku akikunyima papuch* si utalia mtaa mzima?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
mkuu yani suala hilo tuu unalileta humu? vipi siku akikunyima papuch* si utalia mtaa mzima?

Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu haya mambo madogo nikiyakalia Kimya baadae litakia jipu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Usilaumu sana, inategemea kapost kwa lengo gani,

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom