UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,384
- 980
- Thread starter
- #61
Sijaona umuhimu wa mwanaume zaidi ya kunidunga mimba ya stress kila siku.
ndo umuimu wake huo we ulitska nini tena
Sijaona umuhimu wa mwanaume zaidi ya kunidunga mimba ya stress kila siku.
kwa tabia na michango yako hapa harti uoe kuolewa na jeuri iyo ni hatari ila wewe kuoa mwanaume ina madhara sana coz yeye hakupendi ila vijisenti vyako ndo vizuri kwakwe. tahadhari kwakwo ataikusanya iyo pesa yako kidogo2 then atatafuta mwanamkeanayempeddd wakati huo ndo utajuta kuoa au utaoa tena?Cjaolewa ila nimeoa.khs kuacha au kuachika utasubiri Sana mkuu.zamani ndio wanaume walikuwa jeuri na c sasa.jeuri ya mwanamme kuzalisha tu ila khs kutafuta cku hz mbona tuko sawa.ukitaka mke wa kujua umuhimu wa mume kwa dunia ya sasa labda umzae mwenyewe au ungeoa enzi zile za mababu.
Mnasemaaaaaa? Siwasikii
Sio wote bana sema baadhi yao,
Na wanaume wa sasa hawajui umuhumu wa mke..
Hii mada ni nzuri jamani haswa kwa sisi wanawake. Kwa upande wangu tusianze kumtupia vijembe mleta mada tunachotakiwa tujiangalie tunakosea wapi na . Ila mtoa mada wewe unatoa ushauri gani?. Maana ni kweli ndoa zimekosa maadili haswa kwa WANAUME kutokujua wajibu wao kama VICHWA vya FAMILIA sasa wanataka kua MIKIA ya familia, lazima WAPIGWE TU.
Mnawapa shida sana wadada. Hebu tupe muhtasari wa tabia zako, ili nione jinsi gani KE ni shida. Mnataja mno shida zao ila zetu hatuzitaji.
aaagh Gololiiiiiiiii.....Jamani jaani kwanini mnatusema hivi. Hivi kwani nyie haoni yenu au ndio ulemsemo wa Nyani haoni........ yaani hatuishi midomoni mwenu. kama umechoka siukae usioe.