Wanawake wa sasa hawajui umuhimu wa mume

Wanawake wa sasa hawajui umuhimu wa mume

Ni most of them sio wote ila sababu wanazijua wao na they will never tell!
 
Jamani! tumechoka wanawake wanawake, mkilala mkiamka wanawake!. Ukiona kero imezidi kwa mwanamke ili asikutie dhambi ya kumsema KATAFUTE MWANAUME MWENZIOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO. tena umtwishe mimba, si hutaki kelele!

Ahhha umeua mama wamezidi mno wanawake tunawapa homa kwa kweli halaf usiku hawakawii kukwambia usogee huku hakuna alie mkamilifu sote tuna mapungufu tukianza kusemana hapa tutajazia nzi bure waswahili wana msemo wao kosa moja haliachi mke
 
Haaaahaaaaaaa..kwahiyo Ina mana mwanaume kisa unavihela vyako ndo unataka usujudiwe?km ww unaona anakudharau c uende huko unapohisi utaheshimika kwa mchepuko.
 
.......wanaume wenyewe hawajui umuhimu wa mke, sasa hapo unategemea nn? Ni tit kwa tat!
 
Ukiyasoma maelezo yako tatizo linalokukabili linaonekana dhahiri


Mabadiliko yaanaanzia kwako....



wANAWAKE WANASAHAU KITU MOJA KUWA SISI si Kwamba TUNALALAMIKA NA SI KWAMBA HATUNA MAKOSA NO ILA SISI NDO TUNAOA NA SISI TUNAKWENDAGA KUWATAMBULISHA NA SISI NDO TUNASELECT HIVYO MWANAUME AKIKUTA ALICHAGUA WRONG ANAJUTA NA KULALAMIKA COZ ALIKUWA NA NAFASI YA KUCHAGUA TOFAUTI NA NYIE UTAKUTA UNA MIAKA 35 OR ABOVE KUOLEWA NI ISSUE AKIJA YOYOTE UNAKUBALI ILI KUKWEPA AIBU KAMA UNAVYOJUA TENA MWANAUME ASIPOOA INAONEKANA KAWAIDA ILA KWA UPANDE MWINGINE NI DIFFER
 
Haaaahaaaaaaa..kwahiyo Ina mana mwanaume kisa unavihela vyako ndo unataka usujudiwe?km ww unaona anakudharau c uende huko unapohisi utaheshimika kwa mchepuko.

umeolewa kweli wewe kwa majibu haya huwezi olew na hata ukiolewa ndoa itakuwa na migogoro sana na mwisho utaachika
 
umeolewa kweli wewe kwa majibu haya huwezi olew na hata ukiolewa ndoa itakuwa na migogoro sana na mwisho utaachika
Cjaolewa ila nimeoa.khs kuacha au kuachika utasubiri Sana mkuu.zamani ndio wanaume walikuwa jeuri na c sasa.jeuri ya mwanamme kuzalisha tu ila khs kutafuta cku hz mbona tuko sawa.ukitaka mke wa kujua umuhimu wa mume kwa dunia ya sasa labda umzae mwenyewe au ungeoa enzi zile za mababu.
 
Na wanaume wa sasa hawajui umuhumu wa mke..
 
Kwakweli ni shiiiidah wanawake wa leo hawajui umuhimu wa mume tatizo nini yaani kujali, kupenda, uaminifu unakuwa ziro hivi sababu za msingi ni zipi? Unakuta mwanamke hana kazi kwa maana ni mama wa nyumbani but mume ana kazi nzuri na pesa na ana uwezo wa kung'oa demu yeyote wakati wowote, lakini ukimwona huyo mkewe alivyo na dharau utadhani anamiliki mlima Kilimanjaro kule kwa MISS CHAGA. Nini kinawafanya wanawake wa leo kuwa hivyo? Ila sweet na Salome hawahusiki. NJOONI TUAMBIANE
:

mkuu wenda wako ndo anafanya ivo poleeeee
 
Hii mada ni nzuri jamani haswa kwa sisi wanawake. Kwa upande wangu tusianze kumtupia vijembe mleta mada tunachotakiwa tujiangalie tunakosea wapi na tufanyaje. Ila mtoa mada wewe unatoa ushauri gani?. Maana ni kweli ndoa zimekosa maadili haswa kwa WANAUME kutokujua wajibu wao kama VICHWA vya FAMILIA sasa wanataka kua MIKIA ya familia, lazima WAPIGWE TU.
 
Back
Top Bottom