Wanawake wa sasa hawajui umuhimu wa mume

Toeni vibanzi vyenu kwanza kila kukicha wanawake heeee jamani hatuna mazuri kila siku mnalalamika. itakuwa na wewe una matatizo.
 
Toeni vibanzi vyenu kwanza kila kukicha wanawake heeee jamani hatuna mazuri kila siku mnalalamika. itakuwa na wewe una matatizo.

Sema wewe kiazi nikisema mim.muhogo naambiwa nina mzizi katikati watu wana hila.mbaya anyway tuwachore tu
 
wanawake wanawake hivi nin juu ya nini jamani ??
Mmezidi

Hawajui n sisi tuliowaweka tumboni miez tisa tukahangaika nao lei wameota pembe za kichwa wamekua yaan dah kosa la mtu mmoja tunakua tumechanganywa wote waswahili wanasema mtoto akinyea kiganja cha mkono huwez kuukata mkono
 
wANAWAKE WANASAHAU KITU MOJA KUWA SISI si Kwamba TUNALALAMIKA NA SI KWAMBA HATUNA MAKOSA NO ILA SISI NDO TUNAOA NA SISI TUNAKWENDAGA KUWATAMBULISHA NA SISI NDO TUNASELECT HIVYO MWANAUME AKIKUTA ALICHAGUA WRONG ANAJUTA NA KULALAMIKA COZ ALIKUWA NA NAFASI YA KUCHAGUA TOFAUTI NA NYIE UTAKUTA UNA MIAKA 35 OR ABOVE KUOLEWA NI ISSUE AKIJA YOYOTE UNAKUBALI ILI KUKWEPA AIBU KAMA UNAVYOJUA TENA MWANAUME ASIPOOA INAONEKANA KAWAIDA ILA KWA UPANDE MWINGINE NI DIFFER
 
Usipomuheshimu mwanamke wako,ukampa mahaba mpaka akaona dunia yake yote,USITEGEMEE ATAKUHESHIMU hata kama unamiliki fedha yote ya ESCROW!
 
Usipomuheshimu mwanamke wako,ukampa mahaba mpaka akaona dunia yake yote,USITEGEMEE ATAKUHESHIMU hata kama unamiliki fedha yote ya ESCROW!

Asanteee love is all about respecting each other kuthaminiana ukimuona wa nin wenzio wanasema watampata lini na ukimuona wa kaz gani wenzio wanahaha kumueka ndani
 
tatizo kubwa la wanawake wanapenda kusifiwa tu, wakiambiwa kinyume na hvyo utasikia ooh hamna heshima, ulikaa tumboni tisa, eti ooh sisi mama zenu, wanawake bhana
 
Wanaume wa siku hizi wanadeka sana.....Soon watataka wakienda haja tuwachambe kwa ulimi....mxiuuuuuuuuuuu.....
 
Jamani! tumechoka wanawake wanawake, mkilala mkiamka wanawake!. Ukiona kero imezidi kwa mwanamke ili asikutie dhambi ya kumsema KATAFUTE MWANAUME MWENZIOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO. tena umtwishe mimba, si hutaki kelele!
 
Back
Top Bottom