Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 1,966
- 3,842
nilikutana na watoto hao wadogo wa kike wanacheza hiyo style aisee ,niliona aibuHainisumbui wanavyocheza ila watoto wetu wanayaona haya mapema sana halafu wanaiga.
Simu za mkopo, simu za bei chee, MB za songesha zinafanya hizi videos kila mtu kuona.
Kama siyo online basi kwenye videos za singeli. We are cooked