Wanawake wa pwani na wakiarabu

Ebu kua muwazi na swali lako unamanisha nini hapo vitumbua na maandazi?
 
Mh... Uliza swali lako vizuri ujibiwe.. Mafumbo mpelekee mpoto!
 
Mie ni mwarabu wa Kayenze
Si kweli hata kidogo
Wote wanapata kitumbua, mume cha kumimina wa pembebi cha kuoka.
Maandazi marfuku sababu hatulimi ngano, na ukikutwa na ngano basi ni haramu na unafungwa.
 
Mie ni mwarabu wa Kayenze
Si kweli hata kidogo
Wote wanapata kitumbua, mume cha kumimina wa pembebi cha kuoka.
Maandazi marfuku sababu hatulimi ngano, na ukikutwa na ngano basi ni haramu na unafungwa.

hahaha kongosho mi nakukubali atii...
 
Mie ni mwarabu wa Kayenze
Si kweli hata kidogo
Wote wanapata kitumbua, mume cha kumimina wa pembebi cha kuoka.
Maandazi marfuku sababu hatulimi ngano, na ukikutwa na ngano basi ni haramu na unafungwa.

Duu! Kayenze umenikumbusha mbali!
 
msichokielewa hapo nini nyie watu wazima,.hamuoni kuwa inaongelewa tigo na punani?
 
Mie ni mwarabu wa Kayenze
Si kweli hata kidogo
Wote wanapata kitumbua, mume cha kumimina wa pembebi cha kuoka.
Maandazi marfuku sababu hatulimi ngano, na ukikutwa na ngano basi ni haramu na unafungwa.

Swadakta yahe!
 
Shida ya kitumbua ni pale kinapoingia mchanga...

Kwa muktadha huo, andazi nafuu...?lol
 
kikiingiwa mchanga shurti kisafiwe kwa kupuliza na mdomo huku umefunga macho.

Ukikitia kwenye maji umeharibu
ukikilamba umeumia

kisicho na mchanga, shurti mzee akae mkekani na msuli wake, chai ya maziwa na mchaichai na hiliki na kitumbua cha kumimina.
Utamskia Yalllah! Ngoja nikaongeze mahari, niliwapunja wazazi.

Kulea wenye meno 32 ina raha yake babuu!

Shida ya kitumbua ni pale kinapoingia mchanga...

Kwa muktadha huo, andazi nafuu...?lol
 
hahahaahaa!! Kongosho we mswaz ile mbaya yaani nimecheka kiukweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…