Wanawake wa njombe kuwa na ndevu

Wanawake wa njombe kuwa na ndevu

kifimbocheza_

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
1,119
Reaction score
1,097
Jaman asalam alykuum, nataka kujua ni kwa nini wanawake wengi wanaotoka mkoa wa njombe wana ndevu. Karibia 65% ya wanawake wa mkoa wa njombe wana ndevu. So nataka kujua sababu ni zipi zinapolekea hilo tatzo. Mwenye kujua anisaidie.
 
Suala la kuota ndevu linatokona na hormone imbalance. Inaweza pia kuwa dalili ya ovarian cyst syndrome. Sidhani kama ni wanawake wa njombe pekee wanaota ndevu, inawezekana uliowazoom kwa ukaribu ni hao tu. Au hao wa njombe uliokutana nao hawafanyi waxing kama wengine
 
Sababu wanatokea Mkoa wa Njombe. Hakuna sababu nyingine mbali na hiyo.
 
Mtoa mada nakupa tuzo ya utafiti..

endelea na utafiti ukijua sababu Ni tag.
 
Ila wanawake wengi wanaotumia madawa ya kujikoboa ngozi Wana Hilo tatizo
 
Kwa uzoefu wangu, hata wanawake wengi wa Kinyakyusa wana ndevu.

Hata Wachagga nimeona pia.

Ila, interestingly, mwanamke mwenye ndevu, kila afanyacho anafanikiwa sana.

Wanawake wenye ndevu wana mafanikio sana, na wapambanaji.

Sijawahi kuona mwanamke mwenye ndevu akawa masikini.

Hata akilima mboga tu anajenga nyumba.
 
Jaman asalam alykuum, nataka kujua ni kwa nini wanawake wengi wanaotoka mkoa wa njombe wana ndevu. Karibia 65% ya wanawake wa mkoa wa njombe wana ndevu. So nataka kujua sababu ni zipi zinapolekea hilo tatzo. Mwenye kujua anisaidie.
NI vilema!
 
How did you arrive at approx. 65%?
Sababu za wanawake kuota ndevu ni kutokana na kuongezeka kwa hormones za kiume pamoja na masuala ya genetics.
Hongera zao maana hiyo ni sunna.
 
How did you arrive at approx. 65%?
Sababu za wanawake kuota ndevu ni kutokana na kuongezeka kwa hormones za kiume pamoja na masuala ya genetics.
Hongera zao maana hiyo ni sunna.
Kwa hyo wanawake wa njombe wana hormones nyingi sana za kiume
 
Back
Top Bottom