Wanawake wa njombe kuwa na ndevu

Wanawake wa njombe kuwa na ndevu

Baadhi ya dawa za kujichubua ngozi wanaotumia wanawake zinawafanya waote Ndevu...
 
Labda kuna jiografia inayochangia. Mimi nimeona Mbeya kwa sana.
 
Chunguza wanawake wenye ndevu waume zao utangulia mbele ya Haki
Kwa uzoefu wangu, hata wanawake wengi wa Kinyakyusa wana ndevu.

Hata Wachagga nimeona pia.

Ila, interestingly, mwanamke mwenye ndevu, kila afanyacho anafanikiwa sana.

Wanawake wenye ndevu wana mafanikio sana, na wapambanaji.

Sijawahi kuona mwanamke mwenye ndevu akawa masikini.

Hata akilima mboga tu anajenga nyumba.
 
Mbeya hasa Tukuyu wanachonga kabisa hadi zile zinaitwa timberland.

Dah ila Njombe hapo stand enzi nasoma hapo kuna mmoja alikuwa anakatisha tiketi hapo mabasi ya Dar dadeki yule alikuwa komesha sijaona mfano wako yaani sahani moja na Rickross.
 
Back
Top Bottom