Wanawake wa module pasua kichwa

Me nawapenda hao hao pasua kichwa coz akileta za kuleta unamletea mwenzake achague moja kuchinja au kunyonga!

Haaa siyo issue ukileta mwenzangu nakuzalia toto la marioo flani hivi unalea tu! Hiyo ndiyo dawa yenu wababe!
 
Na wanawake wa aina hiyo cannont stand such nonesense eti wamtishia kumleta mwanamke mwingine alaa well na mkae kwa amani!

Kula like zisizopungua 800 elfu!
 
Mnavyojibu kwa mkato na majivuno hivi ni kama mnapigia mstari hoja ya jamaa..hasa wanawake wa kibongo..

Kweli kabisa! wanawake wakibongo versus me wa kibongo! Mtajijuu!
 
wacha woga wa maisha we mtu ... na we kubali challenge loh unataka ubabe tu
 
UMEJIKOLOGA MWENYEWE NA UTALINYWA LEO WEWE ULIFIKIRI WANAWAKE NI MAGOLIKIPA
SISI NI SUPER/ STRONG WOMAN NA HATUSHINDWI NA CHOCHOTE TUKO HIGH LEVEL NA
TUNAWATAKA HAO MABABE TUWAPE DAWA YAO MAANA WAMEZIDI Bujibuji
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume ni mwanaume. Wewe jiamini uone kama watakusumbua. Akileta za kuleta si unapiga chini, kitu gani.
 

Ndo mana nlikuita...heheeeeee
 
Noo,big nooo,sio kweli kwamba wanawake wenye division 5 ni wabaya na hawawezi zaa watoto genius.
 
Mmmnh... Mwanaume yeyote mwenye hoja dhaifu na asiye jiamini lazima ataogopa mwanamke msomi..!

Wee kama una hoja dhaifu na hujiamini nenda kaoe beki tatu... Baasi..!

Waache wenzio wenye hoja za ukweli na wanaojiamini waoe wasomi..!!

Very tru...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…