catty shangali
Member
- Jun 16, 2016
- 27
- 6
Mmh.
Hapo umesema kweli mzee.teh teh teh potezea, wanaume tumebaki wachache ya nini kukomalia?
sasa wewe utakuwaje kama mimi wakati mimi ni mwanaume au unaandaa mazingira ya kunipiga kibuti
Hapana mpendwa wajua mi am a singlelady
Haaha hapo sasaa nina sababu bilioni za kufurahiiiiHahahaha..ninune nna mume??
Hahhahahahhahahaha mimi hilo jibu ulilopewa kwamba una mdomo kama mlamba mwiko wallahi nacheka hapahv unajua unayemcheka ni mimi ?
Disclaimer: Mabinti na wanawake wa JF, dhambi ya kutokujibu private messages zangu, kisa nimedeclare kwenu nimeoa, itawatafuna.
Watu wengi sana wamepata wake au waume kupitia watu wengine, namaanisha nini?
Unaweza kuwa rafiki yangu wa kawaida tu, kupitia urafiki tunaweza kufanya jambo fulani la kushirikiana, labda biashara, jambo la kijamii, n.k,. Kwa maana hiyo nitaweza kukufahamu wewe vizuri na wewe kunifahamu pia.
Kutokana na urafiki wako na mimi, unakuza network yako, unapata nafasi ya kujua na kukutana na watu wengine wapya na kujenga nao mahusiano mbalimbali (tena unaweza kupata connections na mafanikio ambayo hukuwahi kuwaza wala kuota kwa namna hii). Pia naweza kumrecommend mtu aliyepo kwenye network yangu ambaye umekutana naye kupitia mimi kama inafaa yeye na wewe kuhusiana kimapenzi iwapo ataonyesha kuvutiwa na wewe, au kukurecommend wewe kuhusu huyo mtu au mwingine iwapo utavutiwa naye, kwa sababu nawajua wote.
Why am I saying this?
1. Mimi nilipata mke wakati nikiwa
2. Rafiki yangu amevutiwa na msichana ambaye
Kimsingi, wasichana wengi wanadhani kukaa mbali na wanaume waliooa na kuwa na mahusiano ya karibu zaidi na mabachelors ndio njia nzuri ya kuspeed nia zao za kuolewa, wanajidanganya!
Coclusion:
Msichana akitaka kuolewa na kuwa na ndoa njema akae karibu na kumsikiliza mwanaume aliyeoa (asiwe bazazi, mfanye mentor wako kwenye mambo ya kijamii, kirafiki na mahusiano, he knows what it takes a man to be a real husband), pia mvulana akitaka kufanikiwa katika ndoa, akae karibu na mama aliyeolewa (asiwe mamazi, she knows what it takes a woman to be a real wife).
Easy man...Mbona unauliza mambo ya faragha... kama haikuhusu unauliza nini?
Mbona hakuna uzuri wowote hapoHivi humu JF yumo mwenye angalau nusu ya huu uzuri?View attachment 367071
Duuh.chupi ya neti hatari sana haumwi na mbu huyuHivi humu JF yumo mwenye angalau nusu ya huu uzuri?View attachment 367071