Wanawake wa MMU ukiwaambia tu umeoa, PMs zako hawafungui!

Halafu bado msako wa vyeti feki! Kuna jamaa amenichokoza sana kupitia pm, kwamba nipo kimya sana ama nimefumaniwa na vyeti feki, ndio nikaona nijitokeze ili kutokomeza hisihisi zake!
 
Mwaka huu hadi mijitu sugu inaoa, kama akina Zitto, mwaka huu una stress balaa, watu wameamua kujirusha na ngono halali. Magufuli amebana maisha magumu, siasa zinazuiliwa, utafanyeje sasa!
kweli ndo starehe iliyobaki ya kuondoa stress,ngoja na mie nijifikirie fikirie kama vipi nioe tu,yaani zito kuniwahi imeniuma sana,nikizubaa mpaka mnyika nae ataniwahi asee
 
kweli ndo starehe iliyobaki ya kuondoa stress,ngoja na mie nijifikirie fikirie kama vipi nioe tu,yaani zito kuniwahi imeniuma sana,nikizubaa mpaka mnyika nae ataniwahi asee

Kamata kitu humuhumu mkuu, kuna wanawake wengi wanatembea na nyege kama wehu humu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom