Bro wee wala usijali tumia hela kuwala hawa kenge. Usilete mapenzi wee focus yako iwe ngono tuu uta waenjoy sana hawa kengez.Habari za muda wadau, nimekaa nikiwa nafikiria sasa naona niseme tu haya mambo yanayonisibu. Kuna mwanamke ninae as nina date nae ila naona tabia zake kama sio. Yeye akija kwangu hata kufanya usafi hakuna, kupika hakuna ila chakula mnakuwa mnanunua tu tena kwa bei kubwa sana ila pia vizinga anakupiga vya kutosha tu. Sasa najiuliza ni biashara tunafanya au ndo wanawake wa mjini. Natamani kumwacha ila ni mrembo sana ila ndo hivyo
Tuliza moyo wako tamaa ni mbaya sana... Ukishindwa basi ongeza kipato chako ili ukidhi tamaa zako kwakeNatamani kumwacha ila ni mrembo sana ila ndo hivyo
Umejaribu kuongea nae? Mwambie unacho penda halaf angalia reaction yakeHabari za muda wadau, nimekaa nikiwa nafikiria sasa naona niseme tu haya mambo yanayonisibu. Kuna mwanamke ninae as nina date nae ila naona tabia zake kama sio.
Yeye akija kwangu hata kufanya usafi hakuna, kupika hakuna ila chakula mnakuwa mnanunua tu tena kwa bei kubwa sana ila pia vizinga anakupiga vya kutosha tu.
Sasa najiuliza ni biashara tunafanya au ndo wanawake wa mjini.
Natamani kumwacha ila ni mrembo sana ila ndo hivyo
Picha zangu umetoa wap mkuu?ππ, acha tu mkuu,
View attachment 3306004
Gusa achia, hit & run..acha ufala.Habari za muda wadau, nimekaa nikiwa nafikiria sasa naona niseme tu haya mambo yanayonisibu. Kuna mwanamke ninae as nina date nae ila naona tabia zake kama sio.
Yeye akija kwangu hata kufanya usafi hakuna, kupika hakuna ila chakula mnakuwa mnanunua tu tena kwa bei kubwa sana ila pia vizinga anakupiga vya kutosha tu.
Sasa najiuliza ni biashara tunafanya au ndo wanawake wa mjini.
Natamani kumwacha ila ni mrembo sana ila ndo hivyo
Una options 2:Habari za muda wadau, nimekaa nikiwa nafikiria sasa naona niseme tu haya mambo yanayonisibu. Kuna mwanamke ninae as nina date nae ila naona tabia zake kama sio.
Yeye akija kwangu hata kufanya usafi hakuna, kupika hakuna ila chakula mnakuwa mnanunua tu tena kwa bei kubwa sana ila pia vizinga anakupiga vya kutosha tu.
Sasa najiuliza ni biashara tunafanya au ndo wanawake wa mjini.
Natamani kumwacha ila ni mrembo sana ila ndo hivyo
Ulijisahau uka post Facebook mkuu π π πPicha zangu umetoa wap mkuu?
Sa si umpotezee au umenogewa na bumunda lakeNishamwambia ipa tu naona bado