co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,569
- 2,584
Habari za muda wadau, nimekaa nikiwa nafikiria sasa naona niseme tu haya mambo yanayonisibu. Kuna mwanamke ninae as nina date nae ila naona tabia zake kama sio.
Yeye akija kwangu hata kufanya usafi hakuna, kupika hakuna ila chakula mnakuwa mnanunua tu tena kwa bei kubwa sana ila pia vizinga anakupiga vya kutosha tu.
Sasa najiuliza ni biashara tunafanya au ndo wanawake wa mjini.
Natamani kumwacha ila ni mrembo sana ila ndo hivyo