comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,521
- 17,489
- Thread starter
- #41
wengi wenuHiyo tabia anayo demu wako tuu, usitujumuishe wote.
wengi wenuHiyo tabia anayo demu wako tuu, usitujumuishe wote.
kama wewe ulivyo hopeless unavyotinduliwa na watoto wadogo wakati umri tayari Umekutupa mkonoNi mmoja katika wanaume hopeless wa miaka hii
tuliza mkoundouSasa mwanamke kumvulia mwanaume chupi wewe inakuuma nini mzee baba.
Kama demu wako si ujiongeze haupendwi uondoke...hautakufa bila yeye.
mpaka siku nikutifue ndio utanijua mimi ni mwanaume au mmamaTayari ushafanyiziwa
Kwanza kitendo cha kuvurugwa huko na kuleta mada humu nimekushusha vyeo kabisaaaa bado hujakamilika kuitwa mwanaume........si lazima kila jambo mlilete humu
inauma hiyokuna sehemu barnaba anakwambia "vile nilivyokubidua nae anakupidua vile vile saa nawazaaa,vile ulivyonihemea nae unamuhemea vile vileee saa nawaaaazaaa",hebu imagine hapo bro
Mzee mpe Pole jamaa kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahahaha nyinyi Pia wauwajiila wanawake wauaji aseee,anaweza kukutoa 100 ukajikuta upo 2
Nashangaa mnoHivi kuna wanaume bado wanafuatilia status za wanawake [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Hayo ndo matumizi ya K.au unataka uchukue ukafugie kuku?Mtu unajijua unamtu wako, lakini eti unaenda whatsapp status unamuandikia mwanaume mwingne ujumbe mmoja romantic sana eti unajidai unaijali Birthday yake sana.
Na mpaka unaandika whatsapp inamaana huyu jamaa mnachatigi whatsapp so status yako ataiona, na nilishapataga skendo kipindi flan kua jamaa anakukunja!
Duh! eti unajdai unampenda jamaa kama shabik yake tuu, au kwakua majina yenu ya ukoo yamefanana ndio ikawa rahisi kumvulia jamaa chupi?? umepagawa na umaarufu wa mshkaji?
Wanawake wa miaka hii mmekua mabomu sana!
Mkuu mnayoyafanya wanaume hamuoni??ila wanawake wauaji aseee,anaweza kukutoa 100 ukajikuta upo 2
Sasa kama hautaki kumuoa unamfuatilia wa nini?? Yaani unataka asubiri penye hamna??hatakama
Hatujawazidi nyiemnamatatizo sana
Hatujawafikia nyie kwa kupenda chinimadem hawa wanapenda kut0mbw@ sana
Nashangaa mno