Wanawake wa miaka hii ni hopeless

Wanawake wa miaka hii ni hopeless

Pole Comrade, hao ndio wana JF, siku wakiamka vibaya ni balaa lol
ukirusha jiwe gizani, halafu ukasikia "uwiiiiii!!" ujue tayari!

hao wanaopiga kelele hapa wananijia juu ujue ndio wanawake wa aina ile, na hao mamen wanaotetea ujue ndio hao wameoa vicheche nakuwaacha hawawezi.
 
Daaah aya mambo ya status za wanawke ziache tu mkuu hasa mademu wa vyuo ...labda kama demu unampango nae.
Mm kuna demu nlimpenda kweli nlikuwa na mpang wa kumuoa ila kuna sku niliona yale maneno ya kimahaba kwa mbali ktk status yke akimuwish jamaa fulaani hv sikupotza muda kuview nilimuondoa ktk plan zangu kwakweli japo iliniuma sana....apa npo navzia siku anipe papuchi tufunge ukurasa.

Kwakifupi status zinasaidia kujua upo wangp katika circle ya mahusiano..
hivi viumbe sio poa
 
Inasikitisha sana
 
Ndiyo maana umeulizwa kule juu kuwa kwani unataka kumuoa??
inamaana kama mtu upo kwwnye mahusiano nae serious, na malengo nae, akafanya umalaya unaona ni sawa??? unapenda sana kutetea wanawake wenzako hata wanaofanya upumbavu, usibase upande mmoja, kwahyo huyo akitoa maoni ya kijinga nawewe unasapoti?
 
ukirusha jiwe gizani, halafu ukasikia "uwiiiiii!!" ujue tayari!

hao wanaopiga kelele hapa wananijia juu ujue ndio wanawake wa aina ile, na hao mamen wanaotetea ujue ndio hao wameoa vicheche nakuwaacha hawawezi.

Ila mkuu inaelekea una gubu sana, huyo mkeo ukioa atakua hasalimii njiani?
 
inamaana kama mtu upo kwwnye mahusiano nae serious, na malengo nae, akafanya umalaya unaona ni sawa??? unapenda sana kutetea wanawake wenzako hata wanaofanya upumbavu, usibase upande mmoja, kwahyo huyo akitoa maoni ya kijinga nawewe unasapoti?
Ungeleta mada ya inayohusu mwanaume ungeona ningesema nini sisapoti umalaya kwa jinsia yoyote ile ika kama mtu hauna mpango wa kumuoa au kuolewa naye kwanini umpotezee muda na umfuatilie?? Kwanza wewe mwenyewe hapo ulipo umetulia??
 
Ila mkuu inaelekea una gubu sana, huyo mkeo ukioa atakua hasalimii njiani?
wewe ndio unaona hivyo, ndio zenu... yani unaona kabisa mtu anachapwa hovyo ukisema mnasema gubu, kwanza gubu sijuagi maana yake nini
 
Ungeleta mada ya inayohusu mwanaume ungeona ningesema nini sisapoti umalaya kwa jinsia yoyote ile ika kama mtu hauna mpango wa kumuoa au kuolewa naye kwanini umpotezee muda na umfuatilie?? Kwanza wewe mwenyewe hapo ulipo umetulia??
nakuonaga Sana, wewe ni mtetezi wa upumbavu wa mwanamke
 
wewe ndio unaona hivyo, ndio zenu... yani unaona kabisa mtu anachapwa hovyo ukisema mnasema gubu, kwanza gubu sijuagi maana yake nini

Mkuu kuna kamsemo wanasemaga “ innocent till proven guilty” lol yaani wewe ushaconclude mtu anachwapwa kwa status za watsaap??huu sio ushahidi kamili mkuu...
 
huo ni ushahidi mojawapo, kuna ushahid mwing, mwingne siwezi kuweka hapa, au unataka nikupigie screenshot ya meseji zao na picha wanazotumiana whatsapp ndio ukubali???
Mkuu kuna kamsemo wanasemaga “ innocent till proven guilty” lol yaani wewe ushaconclude mtu anachwapwa kwa status za watsaap??huu sio ushahidi kamili mkuu...
 
Kuchapiwa ni siri ya ndani usiilete JF...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom