faru rajabu
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 221
- 359
mtu unajijua unamtu wako, lakini eti unaenda whatsapp status unamuandikia mwanaume mwingne ujumbe mmoja romantic sana eti unajidai unaijali Birthday yake sana.
na mpaka unaandika whatsapp inamaana huyu jamaa mnachatigi whatsapp so status yako ataiona, na nilishapataga skendo kipindi flan kua jamaa anakukunja!
duh! eti unajdai unampenda jamaa kama shabik yake tuu, au kwakua majina yenu ya ukoo yamefanana ndio ikawa rahisi kumvulia jamaa chupi?? umepagawa na umaarufu wa mshkaji?
wanawake wa miaka hii mmekua mabomu sana!