Wanawake wa miaka hii ni hopeless

Wanawake wa miaka hii ni hopeless

Polekwa yalokusibu lakini,ni sehemu ya maisha na hauko pekeyako na wala haitakiwa wa mwisho.
Songa mbele, usirudi nyuma.
bora hata wewe unanitia moyo, wengine hapa wanajidai wajuaji sana
 
huo ni ushahidi mojawapo, kuna ushahid mwing, mwingne siwezi kuweka hapa, au unataka nikupigie screenshot ya meseji zao na picha wanazotumiana whatsapp ndio ukubali???

Mnhhhh yaani mpaka umekua intruder kwenye messages za watu ? Mkuu hii obsession ya kufatilia ya watu jitahidi uepuke nayo, utakufa kwa pressure bure ...ushauri tu
 
Back
Top Bottom