Wanawake wa leo wanavyojidanganya

Wanawake wa leo wanavyojidanganya

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,431
Eti....

Mwanaume mkweli hanaga maneno mengi,anaongea maneno machache,na anatenda makubwa kuliko aliyosema...hapromise sana,ila anadeliver more than his promises..

mwanaume mkweli hana mikogo,hana mbwembwe,hana swagger kwamba yeye ni fulani na ana nini,au ana hela fulani,kama amekupenda atakuwa straight kwako kwamba anakupenda,kisha atakusikiliza....ukiona mbwembwe na mdundiko,maneno lepelepe tani 8 za mchanga,na advertise nyingi jiulize,kulikoni kwani tunatengeneza movie?

Na nyie wanawake muwe mnaelewa,msipende sana uongo,hadi muwekewe peremende ndo mjue pale pana utamu,unajifanya huelewi hesabu hadi upewe four figure na kompasi,uliona wapi mbilimbi zikalimwa kibororoni,mnapenda sana maneno ndo maana mnadanganywa,mtu akiwa straight mnahisi jamaa bwabwa mbona sio kawaida..kuzoea kwenu kawaida ndo kunakofanya maumivu ya mapenzi yawe kawaida kwenu,eti mbona huyu mkaka hata haongei,itakula kwenu!
 
I aint just like any other of your countless women! I am a lady! I have values and standards! My stakes are high! If you want a piece of this Ass u better rise your stakes! I aInt just gonna give it to ya! You gotta earn it BoY! Earn every piece of it! CHEAP IS EXPENSIVE!:yo:
 
Eti....

Mwanaume mkweli hanaga maneno mengi,anaongea maneno machache,na anatenda makubwa kuliko aliyosema...hapromise sana,ila anadeliver more than his promises..

mwanaume mkweli hana mikogo,hana mbwembwe,hana swagger kwamba yeye ni fulani na ana nini,au ana hela fulani,kama amekupenda atakuwa straight kwako kwamba anakupenda,kisha atakusikiliza....ukiona mbwembwe na mdundiko,maneno lepelepe tani 8 za mchanga,na advertise nyingi jiulize,kulikoni kwani tunatengeneza movie?

Na nyie wanawake muwe mnaelewa,msipende sana uongo,hadi muwekewe peremende ndo mjue pale pana utamu,unajifanya huelewi hesabu hadi upewe four figure na kompasi,uliona wapi mbilimbi zikalimwa kibororoni,mnapenda sana maneno ndo maana mnadanganywa,mtu akiwa straight mnahisi jamaa bwabwa mbona sio kawaida..kuzoea kwenu kawaida ndo kunakofanya maumivu ya mapenzi yawe kawaida kwenu,eti mbona huyu mkaka hata haongei,itakula kwenu!

Sio mimi
 
Mwanaume wa ukweli haitaj longolongo wala pretence to win a woman's heart and its easy to spot such kind of a man
 
Kizuri kula na mfuguyo atii.
Natafuta serengeti boy, awe a small boy wa kama 40 hivi
Source: @fp

King'asti FP leo kanitolea kali. Jamaa ana mke, ana zaidi ya miaka 30 halafu bado anajiona yuko chekechea
ha haaaa, si ndo maana mimi nikaona ngoja niulize kwa wenzangu!
maana ukweli sikujua mantiki ya kusema vile.....
afadhali siyo peke yangu niliyemshangaa, lol!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom