Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,737
- 18,921
Tatizo ukisema ukweli tu unatoswa mimi wote niliokua na nia nayo toka moyoni wamenikataa na niliowadanganya ndo nimewapata...ukisema ukweli utajibeba mwenyewe yaniMwanaume wa ukweli haitaj longolongo wala pretence to win a woman's heart and its easy to spot such kind of a man