Msafiri456
New Member
- Apr 17, 2022
- 4
- 4
Mimi ni Mkenya na niko na jamaa wameoa mabinti toka Tanzania.
Nimependezwa sana na ukarimu na unyenyekevu wao. Wanawake wengi huku Kenya ni Magaidi, kiburi, wanapenda kushindana na wanaume kwa ndoa na wanajifanya wazungu kuliko hata wazungu wenyewe, ukijaribu kujadiliana nao wanaforce accent ya kizungu. Wengi wetu tumechoka sana na hawa dada zetu hasa wanaotoka mlima kati Kenya.
Huku Mtwapa wamegandamiza wazungu hadi utapata wazungu ombaomba walioibiwa mali yao yote na mabibi wa Kikenya.Hata Benpol alijaribu bahati yake Kenya akapata "character development" kali sana.
Wanawake wa kiTanzania wako aje kitabia kwa ndoa kijumla?