Mkuu endelea na mChumbaako acha kusikiliza wazushi hapa, hizo tabia alizoeleza mkuu hapo juu inategemea sio kua kila mpare anahio tabia, kinachofanya wanawake wa kipare waonekane wabaya ni kuwa wachumi zaidi yaani wanamikakati na mipangilio mingi ya kuendeleza familia kwa umakini wa hali ya juu,kwahio wanakua na bajeti sana ktk matumizi yao hivyo kuonekana wabahili na wenye roho mbaya wasiopenda ndugu wa mume,
Aha vekaie urundu aha, wekivonie mndu eguha ekiza aha online kuvwija badala ya kutonga uko havo mbora na kuvwija majirani kuhusu tabia ya ukoo wavo?
Was just kidding, hakika sijawahi kufanya hii dhambi. Na alipotaka kunifundisha mambo ya Kabaang nilikataa na kumwambia mimi ni mkristu.Yani we Santo umetumia mtandao kwa dada zetu.
mrembo by nature lazima utakuwa unatoka kihurio
Me ninabahati ya kujuaa lugha za makabila 10 ya tanzania kipare kikiwemo, so hii sio sababu ya wewe kusema natokea huko....labda utoe justification nyingine.......
duh basi we ni noma ulivyoki master nikajua lazima unatoka huko.we asili yako wapi .nitajie tu kanda
ha ha ha nkyalomkonza mkate nama!!!
mi nimeishi nao muda mfupi wanahusudi sana ushirikina....
Ushirikina wapi bwana, kila kabila hapa TZ wana asili ya Ushirikina. Ila si unajionea mwenyewe walivyo wakaree. Figure la maana sio number 9.Wape credity bhana.
Karibu sana usukumani kutana na wanawake wenye ukarimu wa hali ya juu...
Cc: charminglady
Ushirikina wapi bwana, kila kabila hapa TZ wana asili ya Ushirikina. Ila si unajionea mwenyewe walivyo wakaree. Figure la maana sio number 9.Wape credity bhana.
uwiiiiiiii sijawahi ona figa iramba mie!!!!!!!!!
Hakuna exaggration hapo, nna marafiki wengi wapare wanaroho mbaya....
Mchumba wangu ni mpare wa muda mrefu sijaona tabia zozote mbaya kama zinazotajwa hapa mfano wanapenda sana kugongwa nje, xtreme ubahili, chuki kwa upande wa mume etc. More elaboration please:yell::nod:
hasa wapare wa Mwembe a.k.a Nigeria ya Same yaani ni balaa