Wanawake wa Kimasai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wa Kimasai

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mayenga, Oct 20, 2011.

 1. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,753
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  Bandugu,

  Nataka kujua tabia za wasichana hawa,kuna wengine wapo mjini wameenda shule.Tabia zao please!
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Nimeishi nao,nimesoma nao,nimekula nao,nimeoa mmsai_ni wanawake wa kutumainiwa,...i real love them
   
 3. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Unawezaje kuwa-label watu wa jamii fulani kwa ujumla wao? Ridiculous ...
   
 4. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ni wavumilive mnoo na wasiri mnoooooo kiasi kwamba hata akitembea na mdogo wako hutokaa ujue
   
 5. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  it begin with you!
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mkubwa! Kwa kweli hili kabla la Maasai,karibu 65% nimekuwa nao ktk mazingira ya kazi na hakika nakwambia,wale wamasai wa hapa A town hasa wale wanaozaliwa hapa hapa na kujichagulia kujiita waarusha wale ni kufanya uchaguzi kwani wamekuwa wajanja kushinda wale ndg ze2 wa pale Mkoani Kilimanjaro wale wanaoenda kwa jina la Machame maana wale wengi wao ni moto wa kuotea mbali na sasa hawa Masaai wanaozaliwa pale A town mtaa wa Sekei,Sinoni na hata baadhi ya Sanawari ya juu ikichukua Ilboru kwa upande hakika nao hawafai kbs Kamanda wangu! Na kwa ufupi ndiyo walivyo.
   
 7. Kimolah

  Kimolah JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 327
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 60
  teeeh! Kwa hiyo watakuwa wanamegana behind his back !
   
 8. Big One

  Big One JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 759
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  wana **** mnato na wamelelewa utakavyo
   
 9. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wanaume kama wanawake, wamasai wanaaminika. I am married to one...
   
 10. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kuwa kina baba huwa wakienda jando a.k.a kukata mkono wa sweta wana namna yao tofauti ya kuchonga penseli kama wengine? maana nasikia sikia wana huo utamaduni, atleast kumbe naweza kupata proof sasa.......
   
 11. TAMKO

  TAMKO JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Wakali saNa ukiwakera.. Kwa sababu ya kula damu mbichi.. Ukiwaudhi wana hasira isiyodhibitika.. Pia ni ngumu sana wao kukasirika.. Hawana wivu wala hawajui wivu manaake nini.. Hata rafiki yako akitembelea hom wao wanagawa tu. Na ukiwaFUMANIA live simple atakujibu ngojea kwanza rafiki yako amalize..
   
 12. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Ili mradi umeridhika nae, una imani utadumu nae!
   
 13. a

  alph Member

  #13
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Chukua aliyekeketwa mshikaji hasumbui
   
 14. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  duuuh hili balaa sasa.
   
 15. Bambanza jr.

  Bambanza jr. JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo ni tatizo! Ila ndo ukwel weng hawana magolikipa pale langoni!
   
 16. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Unaumwa wewe, sio bure! No wonder liavar lako linaona aibu! maswali gani haya jamvini jamani?
   
 17. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  hahaa, mbona umekuwa mkali ghafla bibie?

  Dah, mbavu sina!
   
 18. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Hata mie nashangaa! Kama lengo ni (kwa mfano) kupata mke toka umasaini, atakuwa anaoa an individual au community?
   
 19. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo na wewe ndio unamwagia mafuta ya taa kwenye moto unaoanza kuwaka? Mchokozi wewe!
   
 20. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  hapana, siyo lengo langu hilo mkuu. Ni kwamba sikutarajia kwamba RR angekuja juu kiasi hicho, manake nimezoea kumwona RR mpole na asiyekubali kughafilika kirahisi..! (eti hadi avatar inaona aibu, lol)
   
Loading...