Wanawake wa Kimasai

hapana, siyo lengo langu hilo mkuu. Ni kwamba sikutarajia kwamba RR angekuja juu kiasi hicho, manake nimezoea kumwona RR mpole na asiyekubali kughafilika kirahisi..! (eti hadi avatar inaona aibu, lol)
TANMO, nimeshangaa sana hilo swali la Sokwe. now that you mention it na mimi naona it was too hursh, jamaa alikua anatania (I hope)...
 
Kila mtu ana sifa na tabia zake,km ww ushampata wako mwenye vigezo unavyotaka ww chukua jiko,kila mtu ana tabia yake binafsi isiyofanana na ya mwingine na hata mara nyingine mtu huwa na tabia tofauti kbs na kabila lake.
 
Nimekaa na wamasai wa maeneo ya Loliondo,Simanjiro,Kia,Handeni na Ngorongoro.WaMaasai ni binadamu kama walivyo binadamu wengine kinachowatafautisha na waswahili wa mjini ni utamaduni na mazingira ya maporini wanayopendelea kuishi.

Wanawake wa KiMaasai ni wazuri sana tena wanauvumilivu wa hali ya juu uwezi kuwalinganisha na wanawake wa mjini.Wana nidhamu sijui niseme nidhamu ya uoga au ndiyo sehemu ya utamaduni wao.WaMaasai wa porini wana harufu kali ambayo kama haujaizoea utawachukia bure the same apply to wanawake wa kiMaasai.
 
Back
Top Bottom