Ukioa mwanamke wa kibosho, umeoa jembe! Hautakufa njaa, they are hard working... i admire them to death! Jamaa zangu wameoa wakibosho maisha yao ni full raha...
Huna issue wewe. Kaa chini.
Mfano Mbowe kuweka wachaga wote kwenyesafu ya uongozi chadema sio ukabila au ni stori za vijiweni.
Na mengi kujaza wachaga IPP nayo vipi.mna ukabila ni bora mngechukuliwa na Mwingereza mwende kenya mtuache na mjerumani.
Mchaga anayejali pesa kuliko utu pia wapo tofauti na watanzania wote mchga mwenyewe anakuambia kuwa mzuri ni aliyekufa.
Mie kwa ukabila ndo nawakubali CHASAKA
Kama haujaolewa ni pm natafuta mkibosho
Ni mchaga gani chadema ambaye ni mzembe hana hoja yoyote???Ni mfanyakazi gani wa mengi aliyepewa kazi akiwa hana sifa yakupata ajira?
cha ajabu kila siku nenda kwenye matangazo ya harusi idadi ya wanawake wa kichaga kuolewa ni kubwa zaid kuliko wanawake wengine.
mie ni mmachame orijinooo na nasema kweli sichukii mkisema tunaua wanaume ila mie mue ninae mwaka wa 17 huu na mtasubiria wee mwishowe mtaskia tumefikia miaka 50 ya ndoa.
kiruuuuu mandede!!
cha ajabu kila siku nenda kwenye matangazo ya harusi idadi ya wanawake wa kichaga kuolewa ni kubwa zaid kuliko wanawake wengine.
mie ni mmachame orijinooo na nasema kweli sichukii mkisema tunaua wanaume ila mie mue ninae mwaka wa 17 huu na mtasubiria wee mwishowe mtaskia tumefikia miaka 50 ya ndoa.
kiruuuuu mandede!!
Nilikua nauona huu Uzi ni wa kizushi ila ukweli nimeamini from vivid example ya Mimi mwenyewe!
Yaliyonikuta ni Mungu tu anajua maana sikuamini kama ningesalimika kwa lile dubwana la Kimarangu mixer Mkibosho. Ahsante Mungu kwa kunionyesha TRUE COLOR ya huyu mwanadada maana kwa jinsi alivyokua akiji-pretend bado siamini kama ni yeye Mnyama vile.
Wadau wangu wa hili jukwaa imeandikwa muishi na wake zenu kwa akili. Ila kwa mwanamke wa Kimarangu inahitajika akili ya Ziada zaidi ya hii iliyotajwa huku kwenye hivi vitabu vitakatifu.
Nashukuru nimetoka salama wa salmini, thanks God!
Wote ni walewale mkuu ... Nimebahatika kuishi nao wote weee ... Afu ni wambea sijapata ona na ni panya anang'ata na kupuliza.Wa kimarangu, vipi kuhusu wa kimachame?
Kwamba sumu huku kaweka kaseti ya dini sio!, hahahaaaaa~kumbusha mbaali saanaWote ni walewale mkuu ... Nimebahatika kuishi nao wote weee ... Afu ni wambea sijapata ona na ni panya anang'ata na kupuliza.
Sio watu aisee.....Mungu anisamehe siwapendi kweliKwamba sumu huku kaweka kaseti ya dini sio!, hahahaaaaa~kumbusha mbaali saana