Mount Kibo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 1,956
- 553
Damn shit ..wanawake wa kimarangu ndo mdudu gani kuwachukia wewe hakutawaondolea mbingu wala jua kuzimika!Njoo na data za kumchukia mtu wala siyo jamii huwezi ku-generalize na sisi kama majuha tukaanza kukushangilia!Kiboko kwa kipi sasa? Of course kama ni watu wasiofaa lazima lisemwe hilo.....Kwangu mimi nimejikuta nawachukia wanawake wote wa kimarangu...deep down my heart
Nimesoma kichekesho chako cjaona unachokiita mkanda mzima au bado tusubiri!Naleta mkanda mzima punde, sitani si kwa mwanamke mmoja tu wa kimarangu ila nawajua kama 7 hivi, na ni nuksi hawa, sishauri ndugu au rafiki aoe huko, mama yangu,
Smooth criminals.Naleta mkanda mzima punde, sitani si kwa mwanamke mmoja tu wa kimarangu ila nawajua kama 7 hivi, na ni nuksi hawa, sishauri ndugu au rafiki aoe huko, mama yangu,
haaaaaaa umenichekesha sn mkaliWamachame ndo balaa,heri uoe simba.hao ni full israel...loading error...
Hahahhahah Hawa hawana shida kwanza ni watu wakuridhika mnooo kazi yao mdomo tuu
Kwani hao wamachame na wamarangu wameanza kusemwa leo? Karne na karne watu wanaoa na wanapata maendeleleo. Mtu uliyetoka kwenye njaa utawezaje kukaa na mwanamke aliyetoka kwenye shibe? Wakati anahangaikia kupata majumba na magar wewe mwanaume utakimbilia kusema anakupangia. Acha usioe koz wewe mjinga wataoa wale wenye akili
wachagga wanawasumbua roho sana mlianza wamachame sasa marangu...kesho rombo....keshokutwa kibosho.Sasaa km mnaona hivyo mnawapendea nini...kaz ya moto kusukuma damu kupenda in kiherehere tuuuu...
ni matunda ya wizi.vibaka wanaopigwa mawe nayo ni matunda!
Bora nipendwe na boga kuliko mmarangu....nakuchukieni nyieeeeeeeeeee...nakuchukia wewe...Mungu anisamehe tu.
Naleta mkanda mzima punde, sitani si kwa mwanamke mmoja tu wa kimarangu ila nawajua kama 7 hivi, na ni nuksi hawa, sishauri ndugu au rafiki aoe huko, mama yangu,
ALWAYS TRUTH WILL REMAIN & PREVAIL....
Mmarangu or mkibosho or any chagas i won't recommend ndugu au jamaa yangu wa karibu aoe☝☝
Wako kimaslahi tu......mm hawa hapana...wala hawako akilini...ukipata kipato ktk maisha yenu ataku ufo saro...hawachelewi.. na hata ukitaka kudhibitisha angalia tu visa vya mauaji ya wapenzi au wana ndoa hapa mjini au Tz...utakuta mchaga ni mzazi mmoja wapo au wote wachaga...eg..Ufo Saro na Mushi...Yule jamaa mchaga wa Ilala, ( karibu na club ya wazee) na
Mkewe..aliye wapiga risasi mkewe na mwanaume mwingine...hawa  NOO...!!!
Huyu amevurugwa.
Achana nae.