Wanawake wa Kimarangu ni hatari

Wanawake wa Kimarangu ni hatari

Kiboko kwa kipi sasa? Of course kama ni watu wasiofaa lazima lisemwe hilo.....Kwangu mimi nimejikuta nawachukia wanawake wote wa kimarangu...deep down my heart
Damn shit ..wanawake wa kimarangu ndo mdudu gani kuwachukia wewe hakutawaondolea mbingu wala jua kuzimika!Njoo na data za kumchukia mtu wala siyo jamii huwezi ku-generalize na sisi kama majuha tukaanza kukushangilia!
 
Naleta mkanda mzima punde, sitani si kwa mwanamke mmoja tu wa kimarangu ila nawajua kama 7 hivi, na ni nuksi hawa, sishauri ndugu au rafiki aoe huko, mama yangu,
Nimesoma kichekesho chako cjaona unachokiita mkanda mzima au bado tusubiri!
 
Mkuu mimi nnampango wa kuoa mmarangu, kwaiyo niairishe ndoa! Aisee
 
if your not educated dont dare kuowa mwanamke mchaga utaishia kutoa story za ajabu kama hizi, elimu ndogo ndo chanzo za mambo haya yote
 
Kwani hao wamachame na wamarangu wameanza kusemwa leo? Karne na karne watu wanaoa na wanapata maendeleleo. Mtu uliyetoka kwenye njaa utawezaje kukaa na mwanamke aliyetoka kwenye shibe? Wakati anahangaikia kupata majumba na magar wewe mwanaume utakimbilia kusema anakupangia. Acha usioe koz wewe mjinga wataoa wale wenye akili
 
Hahahhahah Hawa hawana shida kwanza ni watu wakuridhika mnooo kazi yao mdomo tuu

na ndio maana maendeleo ni zero huko kwao...wanaridhikia vijumba vya kupanga na kuvaa dear mpya sijui kupaka hina na piko...
ujinga mtupu
 
Kwani hao wamachame na wamarangu wameanza kusemwa leo? Karne na karne watu wanaoa na wanapata maendeleleo. Mtu uliyetoka kwenye njaa utawezaje kukaa na mwanamke aliyetoka kwenye shibe? Wakati anahangaikia kupata majumba na magar wewe mwanaume utakimbilia kusema anakupangia. Acha usioe koz wewe mjinga wataoa wale wenye akili

bora uwasaidie....wataishia kuja kuomba mikopo na lifti na kulalamikia serikali haiwaangalii....kumbe wenyewe ndo mabwabwa
 
wachagga wanawasumbua roho sana mlianza wamachame sasa marangu...kesho rombo....keshokutwa kibosho.Sasaa km mnaona hivyo mnawapendea nini...kaz ya moto kusukuma damu kupenda in kiherehere tuuuu...

hahahaaaa asante mkuu wametuandama wanatoka povu wachaga wachaga kila kukicha kazi ya moyo kusukuma damu wapendwaa
 
Naleta mkanda mzima punde, sitani si kwa mwanamke mmoja tu wa kimarangu ila nawajua kama 7 hivi, na ni nuksi hawa, sishauri ndugu au rafiki aoe huko, mama yangu,


Si wamarangu bali wanawake wa Kichagga wooooooooooote. Binafsi huwa nawaona ni wasanii sana katika mapenzi na siku hizi watu wengi hapa mjini wanawaita "Majinamizi/misukule ya talaka," kutokana na usaliti wao katika ndoa. They are not kwenye ndoa kwa ajili ya mapenzi bali hufuata pochi, na kusema kuwa wanajifanya ni wa dini sana ni kweli ili tu kupotosha watu. Nawapa pole wenzangu wote mliojiingiza kwenye uhusiano wa kimapenzi na haya majinamizi ya talaka kwani najuwa mnalala jicho moja likiwa wazi.
 
ALWAYS TRUTH WILL REMAIN & PREVAIL....

Mmarangu or mkibosho or any chagas i won't recommend ndugu au jamaa yangu wa karibu aoe☝☝
Wako kimaslahi tu...🏧...mm hawa hapana...wala hawako akilini...ukipata kipato ktk maisha yenu ataku ufo saro...hawachelewi.. na hata ukitaka kudhibitisha angalia tu visa vya mauaji ya wapenzi au wana ndoa hapa mjini au Tz...utakuta mchaga ni mzazi mmoja wapo au wote wachaga...eg..Ufo Saro na Mushi...Yule jamaa mchaga wa Ilala, ( karibu na club ya wazee) na
Mkewe..aliye wapiga risasi mkewe na mwanaume mwingine...hawa 🙌👌👌 NOO...!!!
 
ALWAYS TRUTH WILL REMAIN & PREVAIL....

Mmarangu or mkibosho or any chagas i won't recommend ndugu au jamaa yangu wa karibu aoe☝☝
Wako kimaslahi tu......mm hawa hapana...wala hawako akilini...ukipata kipato ktk maisha yenu ataku ufo saro...hawachelewi.. na hata ukitaka kudhibitisha angalia tu visa vya mauaji ya wapenzi au wana ndoa hapa mjini au Tz...utakuta mchaga ni mzazi mmoja wapo au wote wachaga...eg..Ufo Saro na Mushi...Yule jamaa mchaga wa Ilala, ( karibu na club ya wazee) na
Mkewe..aliye wapiga risasi mkewe na mwanaume mwingine...hawa  NOO...!!!

Kaazi kweli... kweli...!!!!
 
Mnawapa vichwa tu. Unamuoa unaishi nae vizuri bila ya kuwa na hata ilo wazo. Mimi akiniua si tuna watoto basi watakula wanangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom