Wanawake wa Kikurya wana sifa gani?

1.wapole
2.wanapenda kugechwa(kudundwa)
3.wana akili sana
4.wavumilivu
5.awajui kupika....

ehh jaman m kidng bwana auwez kudicrib mtu kwa kabila lake..waweza kuta mkurya lakn asiwe na sifa ata moja apo juu

kila bnadamu ana swaga zake.

nawasilisha..its me nyambura.


Yaani utadhani ulikuwepo akilini mwangu, Uko sawa kabisaa
 
nashukuru sana wadau kwa kuchangia hoja. najua sio wote wana hizo sifa ila kuna sifa ambazo zinajirudia rudia kwa aslilimia kubwa.
 
Lazima umchape vibao angalau viwili kwa siku ili ajue unampenda


hii haipo mama mana hapo mkigeuza mtasema wanaume wakurya wanapenda kupiga wakati siku hizi njemba zote tu ukienda kichwakichwa inakupa za chembe...
 
Sifa zao sio nyingi sana,: ila za muhimu sana kwa wanaume mabondia.
kwanza: wanauwezo wa kuvumilia na kuhimili vichopo na mapanga.
pili: wanatabia ya kumiss vipigo visipo mtembelea kwa muda kidogo.
pia wanatabia ya kuanzisha au kukumbusha kupigwa kama mwanaume kasahau wajibu wake.
Sifa zimgine ni kama za wanawake wengine wa kiafrika.:msela:
 
Mabinti wa kikurya wa mjini wala hawafagilii vichapo. Most of my friends wamekwepa kuolewa na kaka zao. One of them is married to my brother. Wakurya siyo siri wanapiga kweli kweli. Na si kupiga wake zao tu wanapiga sana hata watoto wao yaani utadhani mtu anapiga mwizi! Utasikia baba ana mkanda wa jeshi tukikosa anatufunga na kututandika. Ukiwa nao jirani vilio ni kitu cha kawaida.

Ila they now prefer marrying other tribes kukwepa kichapo!

Na hawa jamaa hata ambae ni msomi, culture ya violance iko damuni. Nina ndugu yangu aliolewa na Prof mmoja. Wameishi vizuri tukajua huyu msomi hana shida. Siku alipomtembezea kichapo alilazwa ICU 7 days. And it was after 10 years of marriage bila ugomvi.
 
Dah! Kwa sasa naona makabira yote ni sawa ila watu tunatofautiana hulka, so chakuangalia ni tabia
 
Kama wameacha itakuwa poa sana. Kwa kweli katika majirani ambao daima nawakumbuka ni wakurya. Hawana majungu na wana upendo wa kweli. Nimekaa nao toka nimezaliwa mpaka naanza maisha yangu. Hata wazazi wangu ambao si wakurya nao wanawakubali. Ni wale watu ambao wanafanya mtu awaone kama part ya familia.

mi namjua mmoja hajatahiriwa, itakuwa wameacha
 
Hawajui kukata mauno, hawavai chupi, hawajui kuchumu, hawana kilio cha mahaba hawavai skirin! tait mkiwa kwenye 6kwa6 anakwambia fanya haraka niende kupika togwa na megine mengi
 
Mimi si mkurya, ila nimeishi nao sana. Ni warembo sana. Si watu wa majungu, wana upendo. Labda wanaotoka kijijini ni tofauti, ila wa hapa Dar most of those that I know are real attractive. Tatizo lao kubwa ni kuwa wanatahiriwa. It is so fun kwani hata wa mjini (marafiki zangu) walikuwa wanatahiriwa then wanafanyiwa bonge la sherehe majirani woote tunaalikwa na siyo siri wala nini tena hapa hapa dar!. Hiyo ilikuwa miaka ya 90 sijuhi kama wamehacha au wameamua kujificha. Ila ili suala la kutahiri si wao peke yao nasikia na wachaga na watu wa dodoma, singida pia wanatahiri mabinti. Sasa sijuhi baada ya kutahiriwa performance zao in bed zinakuwaje maana I doubt kama wanaenjoy.
Ndugu yangu, nani alikwambia kutahiriwa au kukeketwa bi tatizo? Unatengenezewa njia iwe haina vikwazo wewe unaona ni tatizo!!!
 
hii haipo mama mana hapo mkigeuza mtasema wanaume wakurya wanapenda kupiga wakati siku hizi njemba zote tu ukienda kichwakichwa inakupa za chembe...
Nasikia wanaweza kujua unacheat asipopata vibao
 
Back
Top Bottom