Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,312
Ni majirani zetu,wako pouwa sana,wa zamani walikuwa na viji elements za kibabe,mkurya wa leo yuko fit idara zote..wa zamani ulikuwa ukimletea mambo ya romance utasikia ''fanya haraka tulale,umekalia kunirambaramba tu''(kiding) wako poa sana madem wa kikurya.