Wanawake wa Kikurya wana sifa gani?

Wanawake wa Kikurya wana sifa gani?

achrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrria manderrrrrrrrrrrrrrrrrrra! ware wanakatwa, rakini wanacheza risungu aah ni rrritongo. arafu wanaweza kuku arrest na kuku rearrest!
 
Kila mtu ana swaga zake siyo wote jamani . Rose umenichekesha sana (SWAGA)
 
Wakurya ni watamu sana kwenye matani aisee, nawatania sana wale mpaka urafiki unakuwa ni kudumu!
 
kitu cha kwanza jua hawana manundu, wamekeketwa...so sahau kushikashika ile sehemu ya harage...
 
Mademu wa kikurya wastaarabu sana, wanathamini ndoa zao! Bt hawajui kupika!
 
Nimezunguka hapa tz,moro dar, mbulu,karatu dodoma na sasa nipo Rorya. Kiukweli wanawake wa kikurya wanamvuto wa ukweli, nyuso zao zimenawiri vya ukweli,mguu wa chupa na hata kwa urefu wanavutia sana. Cha zaidi ni upole wao pamoja na ukarimu ulifanana na wa kisukuma. Kwa upande wangu nimewakubali sana!
 
Mhhh wwe ndiyo mkurya? Nini?.unaweza ukaa ukalinganisha na manyara.au bereko au kondoa? Makuzi ni yaleyale mwnamme wakikurya ni moto itakuwaje mwna.mke awe .pole? Tena hakuna yata mzuri pale for ya
 
Huyo binti wa kikurya uliyempata kakulisha limbwata, ndiyo maana macho yanaona ni wakurya tu. Hata hivyo ukijidanganya ukamuoa hutaishi naye, maana mwanamke bila kupata kipigo mara 3 kwa wiki hujiona hapendwi na ni sababu tosha ya kuachana na mme.
 
Karibu Rorya ujionee mwenyewe
Mhhh wwe ndiyo mkurya? Nini?.unaweza ukaa ukalinganisha na manyara.au bereko au kondoa? Makuzi ni yaleyale mwnamme wakikurya ni moto itakuwaje mwna.mke awe .pole? Tena hakuna yata mzuri pale for ya
 
nakuunga mkono. Hata jijini Dar Kurya girls wapo juu, beautiful and serious.
 
1.wapole
2.wanapenda kugechwa(kudundwa)
3.wana akili sana
4.wavumilivu
5.awajui kupika....

ehh jaman m kidng bwana auwez kudicrib mtu kwa kabila lake..waweza kuta mkurya lakn asiwe na sifa ata moja apo juu

kila bnadamu ana swaga zake.

nawasilisha..its me nyambura.
Rose1980
Hapo kwenye bold: Hakuna hatari naiogopa duniani kama hiyo. I'm very sensitive to the kind of food taste. Afadhalli ningekuwa mlafi, ni shida na adhabu kubwa mno kuwa food-taste-sensitive!
 
Rose1980
Hapo kwenye bold: Hakuna hatari naiogopa duniani kama hiyo. I'm very sensitive to the kind of food taste. Afadhalli ningekuwa mlafi, ni shida na adhabu kubwa mno kuwa food-taste-sensitive!

Swala la kupika haliusiani na kabila mimi ni mkurya na nina jua kupika kila aina ya chakula



Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mhhh wwe ndiyo mkurya? Nini?.unaweza ukaa ukalinganisha na manyara.au bereko au kondoa? Makuzi ni yaleyale mwnamme wakikurya ni moto itakuwaje mwna.mke awe .pole? Tena hakuna yata mzuri pale for ya

Usiwasahau wa GOROWA PALE GIDAS
 
Back
Top Bottom