Wanawake wa kikurya ni nomaa

Sema wana mizimu mikali sana, mizimu ya wakurya ni kama ya kimasai..
Lakn waganga hao sijawaona kabisa aisee!
Mizimu ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Sema wewe lazima utetee si kabila lako, ila nyie wachawi shindikanaa..!!
Tena hao dada zako uchawi wao wa kijinga, wa kuloga ili wapendwe na wanaume..!! WTF
 
Mbona wewe hawakukuroga?
Ulijuaje kuwa ni wachawi kama na wewe sio mchawi mlikua mnapaa wote na ungo?
So kinekuuma kisa ukweli huna imani imani ndio inakuonyeshA watu wasio wema kwao nyie niwauaji walitaka waniue .
Wakaniwekea sumu kwenye chakula wakanitupia uchawi kwenye mguu,wakanitumia majambazi
 
hizi facts mbili zimenitisha sana, zingine nazimudu
โ—‡ kwenye kupigana jitahidi visu mapanga unaweka mbali ๐Ÿ˜
โ—‡ mwanamke wa kikurya humpigi bali mnapigana
 
Sawa ila mizimu ni ya kwenu sio yetu walinitupia ugonjwa wa mguu nilioukanyaga geiti la hoteli wakati ninapita walitaka kuniua wakaniwekea sumu kwenye chakula.
WAkaona sijakila wskaniwekea majambazi ile siku ni mungu tu
Sasa ndo napata picha..
Inawezekana tukio lilitokea ukuryani lakini watendaji ni kabila lingine..hayo ya kurushiana ugonjwa nayasikia huko ujaluon, majita, tanga na kwingneko..

INAONEKANA ULISUGULIWA NA MME WA MTU, MAANA SI KWA HARAKATI HZO.
 
Sasa ndo napata picha..
Inawezekana tukio lilitokea ukuryani lakini watendaji ni kabila lingine..hayo ya kurushiana ugonjwa nayasikia huko ujaluon, majita, tanga na kwingneko..

INAONEKANA ULISUGULIWA NA MME WA MTU, MAANA SI KWA HARAKATI HZO.
WIvu nilitoka arusha pap nikapewa kuwa manager nikaanza kuwapa kazi zakufanya hapana hao ni wakurya kama ni gita nawajua hawana shida
 
Mtoto ukimlea kikatili kidikteta utavuna matunda yake ukubwani.
But wema wapo pia miongoni mwa wabaya ishu ni kujua alilelewaje utotoni au mama yake anaishije na baba yake ndo utapata jibu halisi.
Au tabia ya mama yake ipoje tabia ya bibi yake ipoje kwa maana hata kwenye miba unaweza pata tunda zima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ