Wanawake wa kikurya ni nomaa

Danganya wengine bana wakurya tumeishi nao sana zaidi ya sana wakurya kwa kupenda kuroga nakataa, wala ujeuri wa kushika panga wala kupigana na mumewe hiyo ni mwiko
Mimi ninaushaidi bro kaoa kule na marafiki zangu wote wakurya ndo wamenishauri hivyo wakurya hapana kwkweli
 
Makabila mengi yachachambuliwa sana,yote hayafai,mara hawa malaya,wengine wachawi, wengine kwenye ngoma akisikia tu hakai nyumbani,wengine wanaua waume zao,wengine madharau na majigambo.

Conclusion inakuja wanawake wanaofaa kuolewa ni wasukuma.
Wanawake wa kisukuma ukimkuta anapima maji ya kupika ugali utafikiri anachemsha maji ya kuoga..
 
Mjioe tu wakurya kwa wakurya makabila mengine sio wagomvi sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…