Wanawake wa kikurya ni nomaa

Unaonyesha ni mkurya
Ndyo mm ni mkurya na nawapenda wanawake wa kikurya maana ndo kabila lililotulia, hawaui wanaume, hawaendi mdundiko, hakuna cha kangamoko, wavumilivu, hawafungi ndoa jumamosi, halafu jumatatu ikavunjika, ni watu wa kusimama na familia..
Kubwa kuliko yote kwenye ndoa "HUWA WANAJUA UMHIMU WA MWANAMME"
 
Wanawake wengi hawajui malezi ya watoto kwao kulea ni kipigo na ukatili utotoni.
Mtu yeyeto aliyepitia ukatili utotoni ukubwani asipozaliwa mara ya pili ni ngumu kudumu kwenye mahusiano
 
Mmmh
 
Mizimu 😹😹
Sema wewe lazima utetee si kabila lako, ila nyie wachawi shindikanaa..!!
Tena hao dada zako uchawi wao wa kijinga, wa kuloga ili wapendwe na wanaume..!! WTF
🀣🀣🀣🀣🀣
 
Niwavumilivu nilipo kua musoma masomoni Kuna familia MOJA walikua wanaishi mume na MKE SASA mume katoka ILE anarudi hakukuta chakula akauliza hallooo ULIKUA unafanya nini ILE mwanamke anaingia ndani HUKU anasema chakula komo ndani SIJUI aseee ILI chukuliwa kuni ya moto KWENYE mafia akabandikwa nalo akatimbiwa humo ndani kikanuka zaidi. Cha kushangaxa WATU wanaendelea na mambo YAO NJE hata kuamua HAMNA. Na BADO yule mwanamke akaendelea kuishi pale



Bro Alex on da beats
 
So kinekuuma kisa ukweli huna imani imani ndio inakuonyeshA watu wasio wema kwao nyie niwauaji walitaka waniue .
Wakaniwekea sumu kwenye chakula wakanitupia uchawi kwenye mguu,wakanitumia majambazi
Ulikua na uspesho gani hadi wakuandame wewe tu?
 
Huenda ni matokeo ya Athari za Ukeketwaji!
Akigundua una mchepuko sijui inakuwaje!
 
Naenda Ukryani wiki hii sasa mbona unanitisha mkuu. So nikae mbali nao sio?
 
Makabila mengi yachachambuliwa sana,yote hayafai,mara hawa malaya,wengine wachawi, wengine kwenye ngoma akisikia tu hakai nyumbani,wengine wanaua waume zao,wengine madharau na majigambo.

Conclusion inakuja wanawake wanaofaa kuolewa ni wasukuma.
Nionyeshe msukuma asiye na chale ""kuchanjwa chale"

Nipo pale na cocktail ya ukwaju na konyagiiii
 
Dawa yake ndogo sana,,,,unanunua manati,akianzisha vanga unakaa mbali alafu unamtandika ya kichwa,,,
 
Mwanamke wa kikurya OG hawezi mshikia mume wake panga wala kuwa na jeuri kwake. Atafanya ujinga wote huko nje ila sio kwa mume wake, utakuwa umekutana na kabila tofauti kabisa.
 
Mwanamke wa kikurya OG hawezi mshikia mume wake panga wala kuwa na jeuri kwake. Atafanya ujinga wote huko nje ila sio kwa mume wake, utakuwa umekutana na kabila tofauti kabisa.
Wewe huwajui vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…