Wanawake wa Kikenya

Hauwezani na wasichana wa Kikenya, utapelekwa shule bure na huo ustaarabu wako. kama anasema yuakupenda anakuenjoy tu, anataka kufagia hivyo vijisenti vyako kisha akwepe. wanaume wakibongo ni too soft for Kenyan ladies.
 
Smatta i think it's not about being soft many Kenyan women are so aggressive which sometimes people confuse it with arrogance, Tanzanian women are laid back.
 
Hauwezani na wasichana wa Kikenya, utapelekwa shule bure na huo ustaarabu wako. kama anasema yuakupenda anakuenjoy tu, anataka kufagia hivyo vijisenti vyako kisha akwepe. wanaume wakibongo ni too soft for Kenyan ladies.
Next time i come to Nairobi you will be my host mazee lol!!!
 
Jamani kwa mtu ambaye hajawahi kuishi na mwanamke wa ki kenya ataona kama wanaonewa lakini mengi yanayosemwa kuhusu thread hii ni ukweli wa 90% na kama kuna mtu ayaishi na mkenya awe analeta visa vyao vya kila siku hapa utashangaa sana mimi sasa hata sina sababu ya kuendelea visa vya kila siku maana kila kukicha anakuja na mpya mpaka aibu
 
We can't generalize b'hvior but also environment and the people your living with contribute a lot to our general b'hvior. So the decision is yours to check on her b4 making any decision.
 
he will be your host?kuna mkenya anaaminika kweli?naona kama atakuwa wa kwanza kukukaba!

Hahahaha.. Naona generalization yako inakufanya kipofu. Karibu finest, kama nitakuwa Kenya nita kuhost lol.. rosemarie pia wewe siezi maindi kukupa chumba cha kulalia, labda utajigonga na kijana wa Nairobi.
 
Hahaha!!! Mtafutie Rosemarie kijana mmoja kutoka Westlands atamfaa lol!!1

nilisomea hapo Kimathi Primary school, we were staying in Buru Phase 2 back then.. lol... umenipa memmories ndugu yangu
Nikija lazima niende pia Kikombaa aisee kule wana nguo nzuri sana Good Quality
 
Nimeshamess up na mademu wa kikenya na yoote yasemwayo humu ni kweli 100%. On top of that Hamna wanachojua kupika zaidi ya sukuma na getheri. Sura hawana
 
Hapa nimecheka hadi machozi yameisha!
 
Chapa ipo weye?
 
Hauwezani na wasichana wa Kikenya, utapelekwa shule bure na huo ustaarabu wako. kama anasema yuakupenda anakuenjoy tu, anataka kufagia hivyo vijisenti vyako kisha akwepe. wanaume wakibongo ni too soft for Kenyan ladies.

Mambo yameanza kunishinda na natafuta jinsi ya kutoka nduki!
 
nilisomea hapo Kimathi Primary school, we were staying in Buru Phase 2 back then.. lol... umenipa memmories ndugu yangu

Wacha uongo na zuga zako wewe, umekulia Kibera kwenye flying toilets na hivi hurudi kwenu kwa kuogopa Mungiki Brothers na ukimada huwezi acha. Endelea kukaa bongo tu. Nasikia mnakusanya pesa huko europe za East Africa hunger chijui hiyo East Africa ni nchi gani? tanzania hebu jiepusheni na hawa manyang'au wanatia aibu kila siku ni kuomba na kukinga bakuli kutoka kwa mabwana zao.
 
Hapo kwenye red ndio toilets za vipi?
 
Hapo kwenye red ndio toilets za vipi?

Khe khe khe kheeeeeeeeeee mtafute Mkenya au Mungiki Bother atakwambia lakini angalia usiwe karibu naye unaweza kupoteza jicho khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Umejaza matoke mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…