Kiumbemwanadamu
Member
- Nov 27, 2010
- 32
- 11
Jamani katika pitapita zangu nimekutana na kimwana mkenya, mwenye asili ya hukoo Nyanza. Tumeanza ku-date kama miezi 6 iliyopita. Ni mzuri wa sura na tabia yake so far ni poa. Mcha Mungu kiasi na shule kichwani imetulia, na ana career. Kiswahili ndio hicho hicho cha kuvunjavunja. Kwa kifupi so far tume-click!! Kila siku naona hapa jamvini sifa za wanawake mara wa Kirangi, Kichaga sijui Wahaya and so on.
Nahitaji kujua sifa za hawa wadada toka Kenya. Najua wengi wenu mmeshakumbana nao na mnawajua sifa na tabia zao. Nahitaji kujua wasifu wao ili nijue kabla sijafika nae mbali huyu demu wa baba Moi ili nijue kama kusuka ama kunyoa.
Natanguliza shukran zangu!!
Wengi wao wako kikazi zaidi yaani kimaslahi zaidi, Pia wanatabia ya Umalaya hata kama wameolewa tunao wengi hapa dsm ndio wanpenda kulea vijana. Yupo nke wa Pilot mmoja yeye anagawa kama pipi kwa vijana na ana baa moja inapenda kujaa vijana inasemekana huyu ni jiko la mbuzi aka kikombe cha loliondo kimedunda. Achana nao sisi tumewaona wengi wanaofanya kazi mahotelini mpaka kwenye audit firms ni looser. Hawajipendi na ukitaka kumjua mkenya angalia viwigi na wanavyovaa utawafahamu tuu, hawapendi Kunyoa pia. Chini na juu. Japo mashine zao tamu kimtindo

hehehe baba, usijaribu mkenya, imekula kwako haswaa huyo unayemwita mjaluo. nimeishi nao nawafahamu fika, ni watu wa majitapo kizazi chako kitakua cha majitapo. mkikuyu ndo balaa, oa ukiwa maskini ukipata mali jihesabie siku tumekusahau. mkamba wacha tu dear, uwe tayari kusugua kila siku tofauti na hapo anatoka nje. mmeru usiseme raha anaipenda ajabu. kwa ushauri ukitaka mkenya tafuta mmaasai, hana mambo mengi

Nimekuwa nikisoma kila opinion ktk hoja hii kwa umakini mkubwa sana sana wakati nikiendelea kutafakari whether niendelee na huyu bibie wa kikenya ama nimwache. Kuna meeengi sana yaliyosemwa humu ktk hii thread ambayo ni ya ukweli kabisa, mengine yako karibu na ukweli na mengine ni uongo tena wa over the board. Nitafanya maamuzi by the end of June 2011. Nawashukuru sana kwa mchango wenu! Mungu awabariki sana.
Nawombeni muendelee kunijuza kwani niko njia panda
Alamsiki
tafuta mke hapa tanzania,wanawake wa kitanzania ni wazuri sana,achana na matatizo brother
ujiandae kaka maana hao ni wadhungu pori flani wa A.Mashariki, kifupi ni wachoyo,macho juu-pesa mbele, sasa na hizi extended family zetu ujipange..woote ndo zao unless ametembea tembea tz kusafisha nyota-ndioo wanavaaga mchuchumio na soks kama kipaimara

kama kakaa A Town kwa muda kidogo anaweza akawa tongox2 zishamtoka, ci unajua tz chuoo, A Mashariki yoooote binadamu (utu) yuko tz tuu..!hapa arusha wamejaa kila kona,kama kweli ndivyo walivyo basi hawafai hata chembe,
kama kakaa A Town kwa muda kidogo anaweza akawa tongox2 zishamtoka, ci unajua tz chuoo, A Mashariki yoooote binadamu (utu) yuko tz tuu..!