Wanawake wa kigoma balaa!

Mpe pole sana mwambie hapana chesea watu ya Kigoma
Habari wana jf.
Rafiki yangu mmoja amenisimulia juu ya bro wake aliyeoa mke kutoka kigoma. Sasa jamaa alikuwa anatoka nje ya ndoa ila kila akikutana na hawara yake, jogooi hasimami ila akirudi kwa mkewe mambo shwari, amehangaika sana mpaka kwa waganga ndipo akaja kuambiwa kuwa wanawake wengi wa kigoma kuna dawa wanatumia kwamba ukienda kwa mwanamke mwingine huwezi fanya lolote ila ukiwa kwa mkeo mambo yanakuwa safii! Wadau mnalizungumziaje hili, kuna ukweli wowote?
 
Mbona hizo chamtoto mimi nilikuwa nakwenda na baba angu mdogo minadani n dingi ni mkali noma hapitwi sikumoja tupo zehem flani inaitwa ndala ipo Tabora wenyeji wa tunapajua kaopoa toto la kinyamwezi ile anataka kuduu naee akajikuta hana mpini mara anaona panya anapita kweny dari na mpini anakimbia nae alipiga kelele kama chizi

hiki ni kisa cha kweli

HIi hata Bagamoyo kwa JK ipo sana.
 
Naweza kukubaliana na wewe, kuna rafiki yangu mmoja yeye aliachana na mkewe mmoja mwenye mchanganyiko wa kiarabu na kimanyema, baada ya kuachana naye akaamua kumuoa mke mwingine. Basi baada tu ya kuingia ndani jamaa akawa kila akitaka kufanya tendo la ndoa jogoo hasimami hata kidogo, lakini siku mwanamke akiwa katika siku zake, jogoo linasimama haina mfano na jamaa anakuwa na hamu ya kufa mtu, lakini siku zikiisha tu jamaa anarudia na hali ile ile. Aliteseka sana huyu rafiki yangu

Mbona hizo chamtoto mimi nilikuwa nakwenda na baba angu mdogo minadani n dingi ni mkali noma hapitwi sikumoja tupo zehem flani inaitwa ndala ipo Tabora wenyeji wa tunapajua kaopoa toto la kinyamwezi ile anataka kuduu naee akajikuta hana mpini mara anaona panya anapita kweny dari na mpini anakimbia nae alipiga kelele kama chizi

hiki ni kisa cha kweli

Waisambaze hiyo janja tuangamize ukimwi ndani ya ndoa

Porojo jazz band
 
Habari wana jf.
Rafiki yangu mmoja amenisimulia juu ya bro wake aliyeoa mke kutoka kigoma. Sasa jamaa alikuwa anatoka nje ya ndoa ila kila akikutana na hawara yake, jogooi hasimami ila akirudi kwa mkewe mambo shwari, amehangaika sana mpaka kwa waganga ndipo akaja kuambiwa kuwa wanawake wengi wa kigoma kuna dawa wanatumia kwamba ukienda kwa mwanamke mwingine huwezi fanya lolote ila ukiwa kwa mkeo mambo yanakuwa safii! Wadau mnalizungumziaje hili, kuna ukweli wowote?

Mi natafuta niweke kwa demu wangu akitoka nje kiwe kinaziba
 
Dawa hiyo na ile ambayo ukitoka nje ya ndoa mpenzi wako ananuka mavi mbona kigoma zipo tu na ni mambo ya kawaida. Wanaozitaka tembeleeni maeneo ya Gungu, Buzebazeba, Mlati, Mwandinga. Ukitaka kali zaidi nenda kasulu na kibondo wao wanazunguka nyuma ya nyumba na kuchimba mizizi kisha unapewa. Nadhani ndio maana mkoa wa kigoma RATE YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI NI NDOGO labda tuseme hivyo.
 
duh hii kali ... je kwa wakinamama nao wakitoka inakuwaje???
 
Kuna mmoja anaitwa mama ronaldo ni balaa mdada hatari sana kitu tigo k kwa mkeo we mulize mtu yeyote wa kigoma kuna mkuu wa wilaya alimwacha mke.

kaka hiyo ni kweli kabisa anapenda kukaa safari baa,sandra na stanley ila anatisha mtoto ana ngozi nyororo **** la kutosha pia usimshahau pendo wa datalink
 
haya mambo si kigoma tu. Kuna watu waliekeana yamini na wapenzi wao enzi za balehe na mapenzi ya utoto, wakakua, wakatengana. Waliteseka sana kuondoa hayo manuwio ya kigiza giza sababu waliekeana kwa waganga.
 
Bila shaka huyo dem ni wa GUNGU, UJIJI au MWANGA mtaa wa simu.
Mwambie siku nyingne aangalie na maeneo ya kuoa.
 
Nae kashaoa atulie kwa mkewe si kuhangaika. Huyo mwanamke wa kigoma nae ajiamini sio kuchanganya na madawa.
 
Back
Top Bottom