Wanawake wa kigoma balaa!

Tutajuaje kama nawe hutumii hiyo dawa? Tena kuna staili nyingi kuna wengine mwanaume akitoka nje ya ndoa huko mwanamke anayekutana naye anaanza bleed ya ghafla na mchezo unaishia pale, CHEZEA KIGOMA WEYE???????

Mwana Mpotevu, amini nikisemacho bwana mbona unataka kuwa tomaso lol..kimsingi nilitaka nipoint out kuwa yaweza kuwa tabia ya mtu binafsi au watu wachache lkn si vema kugeneralize maana hawa watu wanapatikana mkoa wowote TZ
 
Inabidi tumuombe Prishaz atuuzie kimya kimya hiyo dawa!

@Prishaz mamaaaa, fanya kweli basiiiii!

hahahaha Evarm Evarm,njoo nikufanyie maombi Mungu akupe aliye mwema...huduma ni bure siuzi karibu mwaya.
 
Na log off mbona unatumia utetezi usio na mashiko. Umeogopa eeh. Ngoja waifu apitie huu uzi akuengeneze. lol!
wacha kabisa mawazo ya kutumia hii kitu,ukifa ghafla mumeo atakuwa Cameron maana jogoo litakuwa halipandi mtungi.Nalog off
 
Mwana Mpotevu, amini nikisemacho bwana mbona unataka kuwa tomaso lol..kimsingi nilitaka nipoint out kuwa yaweza kuwa tabia ya mtu binafsi au watu wachache lkn si vema kugeneralize maana hawa watu wanapatikana mkoa wowote TZ

Usijali Prishaz, inabidi uchukulie simple tu, kwani wote tunajua sio wote wa Kigoma wana tabia kama hizo!
 
wanawake kweli ni wavumilivu....yaani unafahamu kuwa wako ni kicheche halafu bado hujachukua hatua zozote kumnusuru?

Una uhakika gani sijachukua hatua????
Hapa nafurahisha genge tu kupunguza machungu na uchovu wa kazini!
 
Kama unamfanyia mumeo sio mbaya unamlinda,na yeye awache uzinzi huyo rafiki yako kwanini alioa wakati bado anataka kuonja kila sufuria? mwambie akamwambie mkewe kilichomtokea atajuta kumfahamu........
 
...hii isigeuke porojo za 'wabongo'. Kuna opportunity hapa, kuna ajira hapa, kuna solution ya mitafaruku majumbani hapa. Mwenye kujua ukweli kuhusu hii dawa ya Kigoma tuwasiliane fasta. Tuache kuishi ndani ya box kutegemea solutions za matatizo kutoka Ulaya (au kwa Wachina). Na sisi TUNAWEZA kutoa suluhisho.
 
Kumbe upo serious mkuu, ngoja nikamwambie kalumanzila akuPM fasta!
Hadi kalumanzila nae ataanza kutoa huduma humu JF soon.

Back
Top Bottom