Kakole
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,094
- 1,743
Anyway sina uhakika ya kuwa wanabadilika lakini ninachoamini mimi ni kwamba sitegemei kuwa mlaini kiasi cha kuzidiwa ukorofi na mwanamke hata km atabadilika na kuwa alshabab!Ni washenzi wanawake, huwajui tu, kwenye uchumba huwa ni watiifu kama vile wanapokea sakramenti. Baada ya kumwoa anabadilika, hapo ndipo utapanic maana hukutegemea.