Wanawake wa Kichagga na Kihaya mtatumaliza

Wanawake wa Kichagga na Kihaya mtatumaliza

Status
Not open for further replies.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Wanawake wa kichagga na kihaya wanatumalizia ndugu zetu. Yaani hawa wanawake ni so strategic, wananyatia wanaume (hata simba na ufundi wake wa kuwinda hawafikii) wenye mafanikio au dalili ya kufanikiwa tu! Wanaume waliosoma, wenye hela au biashara kubwa kubwa. Mbaya zaidi wakishaolewa wanawaendesha hao wanaume mpaka wengine wanakufa vifo vya ghafla kama vile kwa presha! Mrengo wao kimaisha ni kujenga kwao.

Ndugu zangu na rafiki zangu asilimia kubwa wenye mafanikio na elimu wote wameoa wachagga au wahaya, yaani badala ya kuwapenda hawa wanawake kwa sababu ni shemeji zangu, badala yake sina amsha amsha nao kabisa. Mwaka jana kulikuwa na harusi kama 18 hivi ambazo nilihusishwa kwa sababu ya ukaribu au undugu, yaani kati ya hizo 16 mchagga au mhaya anaolewa! Niligoma mgomo baridi, vikao wala michango sikutoa! Mbaya zaidi kuna jamaa nimesom naye UDSM rafiki wa damu, tuliapa viapo vyote, tukae mbali na wanawake wa kichagga na kihaya, cha ajabu juzi ananitumia ujumbe wa simu kuwa anaoa na nilivyohoji shemeji ni wa wapi, akaniambia mchagga. Yaani anamezwa na zimu tulilolikwepa kwa zaidi ya miaka kumi!

Wakuu hii hali ikoje kwa jamaa/ndugu zenu? Wanawake wa kihaya na kichagga muwe na uungwana japo kidogo.
Hao watu wawili plus warangi na wanyaturu ukioa huko jiandae kufa gafla na mali zinaondoka, au ndio uishi kama mume bwege........lakini bora hata wahaya huwa wanakua na kijihuruma flani kidogo.
 
Ukweli ni kwamba wachaga, wahaya na wahehe na wanawake wa makabila mengine wachache wa kubahatisha ndio wife materials kwa hapa Tanzania.

Ukiwa mwanaume uliye pevuka, unajielewa akilini uwezi kuoa msambaa, mgogo, mrangi, mnyaturu, mzaramo, mmakonde na makabila mengineo.

Sasa hivi watu tunaoa makabila yanayojishughulisha, wenye kupenda maendeleo.

Sababu ya kurestishana in peace sii kweli, ni dhana potofu.

Ila kama wewe ni mwanaume dhaifu, mvivu, una mfume dume, huna future, una wivu,mariao kamwe achana kuoa hayo makabila wachaga na wahaya, utakimbia wewe mwenyewe familia yako. Bora muhehe anauvumilivu
Kwanini wilaya ya machame imejaa wajane wengi EA nzima.....!!!!!!!!!
 
Yaaani wahehe ni nouma, inahitaji uvumilivu sana, maana utapangiwa hata sehemu ya kukaa, na kila kitu wao wanajua, yaani mwanaume unajifikiria halafu hupati jibu, Yaaani wanangu marufuku kuoa hiyo kabila maana hawabebeki, ukiwa mkali nao wanajua kupanda mbaya, ukiwa mpole bhasi tena unakuwa fala kwao, ni shida tupu

Ujuaji umenikumbusha, maana kuna vijamaa nilisoma navyo chuo, kila swali kwake linasolvika kirahisi tu, ukimwambia solve maneno mengi!
 
Tunapoongelea wachagga wamachame weka pembeni, hao ni exceptional.
 
Wachaga ni wazuri ya sura ila mioyo mieusi kama masizi.

Hata iweje siwezi kuoa mchaga.

Wanawezana wao kwa wao...kuna jirani tu hapa Mangi kisha rest in peace mwezi wa NNE. Ndo kamaliza nyumba zake na usafiri na vitega uchumi ndio vimeshamili wameshamtanguliza. Mother kabaki na wanawe ye ndo the boss lady
 
Kipengele cha kwanza [emoji736] [emoji736] [emoji736]
Mkuu hujaona hii?

Mwanamke anakusaliti kwa mara ya kwanza, unafukuza, baadae anarudi analia na kusaga meno, unasamehe kwa moyo mmoja..
Ajabu anarudia kosa... huu mchezo wa ndoa unahitaji mila zile za zamani, sio huu uzungu
 
Kila binadamu anakasoro zake kabla hujawagawa kwa makabila yao, hii ni fikra uliojitengenezea kichwani mwako isiyo na uhalisia wala ushahidi. Oa tu makabila mengine utagundua mapungufu yao na utakaa kimya.
 
Sijaona mtu ameoa mchaga na kuishi nae mpaka kuzeeka, zaidi ya kukuta mamanyumba wa kichaga mjane. Ukitaka kuamini mtokee dem wa kichaga na umwambie tutaishi bila ndoa mpaka baadae tukamilishe.... we we !! wao na ndoa hata ikiwa ya ki-freemason ila iwe ndoa tu maana wanajua focus yao baada ya kukung'oa roho na kukukatia luku ya pumzi.
 
Wachaga ni wazuri ya sura ila mioyo mieusi kama masizi.

Hata iweje siwezi kuoa mchaga.

Wanawezana wao kwa wao...kuna jirani tu hapa Mangi kisha rest in peace mwezi wa NNE. Ndo kamaliza nyumba zake na usafiri na vitega uchumi ndio vimeshamili wameshamtanguliza. Mother kabaki na wanawe ye ndo the boss lady

Hahahahaha mnajuaga kutunga story nyie vyasaka.. Kila mtu ana jirani yake kauliwa na mkewe mchagga hahaha
 
Kama WAO ndo WASOMI, tuoe wepi tena?!!
Kama unaoa mwanamke msomi au kwa ajili ya kusaidiana katika maisha ujue tayari usharuhusu kuwepo kwa dharau katika Familia. Wanawake wengi awapendi pesa yao iwe katika matumizi ya familia ni ayo tuuu
 
hahahahahahahah, ***** kuna jamaa mmoja ana tabia hio hio yani umemnanga vizuri anasomesha mashemeji wawili vyuo vikuu mdogo wake pia anasoma chuo ila hata kumpa hela ya nauli tu ndugu yake wa damu inakuwa changamoto

Wachaga ni wazuri ya sura ila mioyo mieusi kama masizi.

Hata iweje siwezi kuoa mchaga.

Wanawezana wao kwa wao...kuna jirani tu hapa Mangi kisha rest in peace mwezi wa NNE. Ndo kamaliza nyumba zake na usafiri na vitega uchumi ndio vimeshamili wameshamtanguliza. Mother kabaki na wanawe ye ndo the boss lady

Sijaona mtu ameoa mchaga na kuishi nae mpaka kuzeeka, zaidi ya kukuta mamanyumba wa kichaga mjane. Ukitaka kuamini mtokee dem wa kichaga na umwambie tutaishi bila ndoa mpaka baadae tukamilishe.... we we !! wao na ndoa hata ikiwa ya ki-freemason ila iwe ndoa tu maana wanajua focus yao baada ya kukung'oa roho na kukukatia luku ya pumzi.
Mbona mnanitisha sana.! Hivi haya mambo yapo kweli au ni stori?
 
Kila binadamu anakasoro zake kabla hujawagawa kwa makabila yao, hii ni fikra uliojitengenezea kichwani mwako isiyo na uhalisia wala ushahidi. Oa tu makabila mengine utagundua mapungufu yao na utakaa kimya.

Kila kabila au watu na mapungufu yao, ya wahaya na wachagga ndio hayo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom