Wanawake wa Kichagga na Kihaya mtatumaliza

Wanawake wa Kichagga na Kihaya mtatumaliza

Status
Not open for further replies.
Mimi nimeoa mhehe ila watoto wangu nimewapiga marufuku na laana nimewaachia wasioe hiyo kabila ya wanyalu, maana unamilikiwa kila kitu, huna nafasi
 
Mimi nimeoa mhehe ila watoto wangu nimewapiga marufuku na laana nimewaachia wasioe hiyo kabila ya wanyalu, maana unamilikiwa kila kitu, huna nafasi
Kuna mtu katoka kunisimulia leo hii nae wife wake mnyalu ananiambia anajuta ingekuwa ndoa ya kiislam angemwacha ila.sasa pingu za maisha
 
Mimi nimeoa mhehe ila watoto wangu nimewapiga marufuku na laana nimewaachia wasioe hiyo kabila ya wanyalu, maana unamilikiwa kila kitu, huna nafasi

Mkuu, duh, wanyalu nao tatizo kihivyo? Nijuavyo tu ni kwamba vijamaa vyao ni vifupi, vibishi, vinapenda kujiona, kiburi na sifa!
 
Yaaani wahehe ni nouma, inahitaji uvumilivu sana, maana utapangiwa hata sehemu ya kukaa, na kila kitu wao wanajua, yaani mwanaume unajifikiria halafu hupati jibu, Yaaani wanangu marufuku kuoa hiyo kabila maana hawabebeki, ukiwa mkali nao wanajua kupanda mbaya, ukiwa mpole bhasi tena unakuwa fala kwao, ni shida tupu
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Wanawake wa kichagga na kihaya wanatumalizia ndugu zetu. Yaani hawa wanawake ni so strategic, wananyatia wanaume (hata simba na ufundi wake wa kuwinda hawafikii) wenye mafanikio au dalili ya kufanikiwa tu! Wanaume waliosoma, wenye hela au biashara kubwa kubwa. Mbaya zaidi wakishaolewa wanawaendesha hao wanaume mpaka wengine wanakufa vifo vya ghafla kama vile kwa presha! Mrengo wao kimaisha ni kujenga kwao.

Ndugu zangu na rafiki zangu asilimia kubwa wenye mafanikio na elimu wote wameoa wachagga au wahaya, yaani badala ya kuwapenda hawa wanawake kwa sababu ni shemeji zangu, badala yake sina amsha amsha nao kabisa. Mwaka jana kulikuwa na harusi kama 18 hivi ambazo nilihusishwa kwa sababu ya ukaribu au undugu, yaani kati ya hizo 16 mchagga au mhaya anaolewa! Niligoma mgomo baridi, vikao wala michango sikutoa! Mbaya zaidi kuna jamaa nimesom naye UDSM rafiki wa damu, tuliapa viapo vyote, tukae mbali na wanawake wa kichagga na kihaya, cha ajabu juzi ananitumia ujumbe wa simu kuwa anaoa na nilivyohoji shemeji ni wa wapi, akaniambia mchagga. Yaani anamezwa na zimu tulilolikwepa kwa zaidi ya miaka kumi!

Wakuu hii hali ikoje kwa jamaa/ndugu zenu? Wanawake wa kihaya na kichagga muwe na uungwana japo kidogo.
 
Ok ndio vizuri wewe unasomesha shemeji zako watatu lakini mdogo wako, hujawahi kumnunulia hata daftari na huyo mkeo wife material anaona sawa, kwenu hujawahi kwenda tangu upate kazi lakini kwa mkeo mchagg au mhaya safari haziishi, tena hadi kujenga huko unajenga, ati, niliona nijenge Moshi kwa sababu baba mkwe ametupa zawadi ya kiwanja, - bwege kabisa!
hahahahahahahah, ***** kuna jamaa mmoja ana tabia hio hio yani umemnanga vizuri anasomesha mashemeji wawili vyuo vikuu mdogo wake pia anasoma chuo ila hata kumpa hela ya nauli tu ndugu yake wa damu inakuwa changamoto
 
Mkuu mimi bado nashuhudia tabia za wanawake wa kichagga tena Dar, wanaume wanaendeshwa kama maguta hadi vichwa vinauma. Ni wababe na mabaunsa, hata kama kimwanamke ni kidogodogo kinajitutumua kama nini wkati kinaolewa kilionekana kipole!
hahahahhaahhahaha, eh bhana umetishhhhhhaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom